Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Sio Kila
Si Kila kitu nachoelezea ni sehemu ya hoja, ni nyingine ni extra claims zinazoelezea hoja haina haja kuzi rise.

Naona umekariri kuhusu fallacy. All fallacious arguments are incorrect arguments which imitate in some way or other the appearance of truth.

Fallacy zinachepusha uhalisia wa kitu either katika muundo wake(form) au material yake.

Usikariri Kila ukiona neno tradition, au culture kwenye hoja ni fallacy. Angalia form (muundo) na usahihi wa material yake.
Huna hoja kaa kimya. Rais kuhudhuria msiba sio takwa la kisheria wala kikatiba. Kibaya zaidi hiyo familia ya Sarungi wenyewe hawako sawa. Wana mvurugano. Rais kafanya vyema kutohudhuria.
 
Wewe si muamuzi wa nini cha ku raise na nini si cha ku raise. Huna nguvu hizo unazojipa.

Wewe si censor wa kusema nini kijadiliwe na nini kisijadiliwe.

Nitajadili hata usichoandika kama naona kina maana.

Kosoa mantiki, usinipangie cha kuandika.

Umejenga hoja juu ya hoja ya tradition kuwa msiba ni shughuli ya jamii.

Hoja hii ni logical fallacy. Ni "argument from tradition logical fallacy"

Pia, hata hizo tradition zinabadilika. They are not written in stone.

Na mtu ana uhuru wa kuamua msiba wake uweje tofauti na traditions.
 
Huna hoja kaa kimya. Rais kuhudhuria msiba sio takwa la kisheria wala kikatiba. Kibaya zaidi hiyo familia ya Sarungi wenyewe hawako sawa. Wana mvurugano. Rais kafanya vyema kutohudhuria.
Mbona Ulivyonijibu hakuna hata kimoja nimekuzungumzia, we umeyatoa wapi? unaleta "Argumentum ad Hominem"
 
Wewe si muamuzi wa nini cha ku raise na nini si cha ku raise. Huna nguvu hizo unazojipa.

Wewe si censor wa kusema nini kijadiliwe na nini kisijadiliwe.

Nitajadili hata usichoandika kama naona kina maana.

Kosoa mantiki, usinipangie cha kuandika.

Umejenga hoja juu ya hoja ya tradition kuwa msiba ni shughuli ya jamii.

Hoja hii ni logical fallacy. Ni "argument from tradition logical fallacy"

Pia, hata hizo tradition zinabadilika. They are not written in stone.

Na mtu ana uhuru wa kuamua msiba wake uweje tofauti na traditions.
Ndugu, "Not all arguments rise from traditional issues are fallacious but all incorrect arguments (in 'form' or 'material'or both) from tradition are fallacy". Sijui unaelewa logic hapo?

Au umekariri tu hii statement: "argument from tradition logical fallacy"
 
Naelewa hilo lakini wewe umefanya "argument from tradition" logical fallacy.

Unaelewa hilo?

"Because of tradition" is not an argument.

Just because something is a tradition does not make it good or bad.

There are good and bad traditions.

So if something is good, show that it is good, you do not need the tradition argument.

Because the tradition argument does not prove something is good or bad. It just shows that this is tradition.
 
Naelewa hilo lakini wewe umefanya "argument from tradition" logical fallacy.

Unaelewa hilo?
Hujaelewa na unazidi kuleta contradictory statements. No argument can proceeds from the two contradictions. Go back to your logic class
 
Hujaelewa na unazidi kuleta contradictory statements. No argument can proceeds from the two contradictions. Go back to your logic class
Sijaelewa nini?

Contradiction haitokei kwa sababu tu wewe umesema ipo.

Ioneshe iko wapi.

Hujui "argument from tradition" ni logical fallacy?

Hukubali kwamba umefanya hiyo logical fallacy ya argument from tradition"?
 
You don't know even where do we contradict. No conclusion can be reached from the two contradicting sides. The only compromise is going back to your logic class.

I can't explain what I have already explained and yet you have failed to grasp.
 
You don't know even where do we contradict. No conclusion can be reached from the two contradicting sides. The only compromise is going back to your logic class.

I can't explain what I have already explained and you have failed to grasp.

Where have you explained? What have you explained?

Do you even know what explaining is?

You made a logical fallacy.

The logical fallacy is called argument from tradition.

Now, you are trying to brute force that I made a contradiction.

A contradiction that you cannot show, cannot explain.
 
Lwaitama naye kakosea

Mwalimu, dr mzee ambaye hakua hata associate prof
Huyu lwaitama mpk mpk hapa nishamdharau inamaana rais kila anaitwa prof akifariki lazima aende wala sio kutuma mwakilishi kumbe huyu mpumbavu elimu haijamkomboa amekaa kama mpika ka horse mtaani
 
Sarungi's three children DID NOT care to attend his burial. Why should anybody else be given grief over it ?

Wale diaspora wa Australia na Hungary tulioambiwa msibani wameshindwa kuja sawa, labda ni wahamiaji haramu, wakitoka kizembe hawatii n-guu tena, tunaelewa.

Na Maria je, kasema tatizo usalama, ungesema ndugu na jamaa na hata police for hire waje kukupokea airport bado ungetekwa ?

Watoto wake watatu ndio hawakujali kuzika baba, wasilaumiwe wengine.
 
W
Angekuwa amekufa any member of the family, akawepo Professor naamini Mheshimiwa angeenda.

Hata hivyo mstaafu alikuwepo,
atz kumbe kila wakisoma wajinga sasa kwe da msiban s mambo ya familia ktk protocol ya urais prof s lazma aende at least ungeaikia namba mbili au tatu au mkuu wa majeshi mstaafu ety leo prof wa sua akifa huyo ukerewe raisi aanze kupanda vidau nyie nyie mpo local sana
 
Sarungi's three children DID NOT care to attend his burial. Why should anybody else be given grief over it ?

Wale diaspora wa Australia na Hungary tulioambiwa msibani wameshindwa kuja tumeeelewa, labda hawana maratasi, tunaelewa wakitoka kizembe hawatii n-guu tena kwa saab ni wahamiaji haramu.

Na Maria je, kasema tatizo usalama, ungesema ndugu na jamaa na hata police for hire waje kukupokea airport bado ungetekwa ?

Watoto wake watatu ndio hawakujali kuzika baba, wasilaumiwe wengine.
Your argument is faulty in a quirky way. Even as, if you are trying to excuse Samia, Wanaharakati wa Tanzania wanampa rais umuhinu ambao hata hana, huku wengi wao wakisema wanataka kumpunguzia madaraka ya kikatiba ambayo anayo, in a very contradictory way.

Mimi ningekuwa next to Professor Sarungi halafu watu wote wamemuacha amefariki, hakuna wa kumzika, mimi ningeona ukweli huo ndio ungenipa mimi sababu zaidi ya kumzika.

Your argument is counterlogical.

Mtu mwenye watu wengi wa kumzika hahitaji watu zaidi wa kumzika.

Yule ambaye kaachwa na watu hawajaja kumzika ndiye anahitaji watu wa kumzika.

Kwa hiyo, if at all umeguswa na mchango wa kazi ya Sarungi ulitakiwa kusema huyu Mzee masikini hata watoto wake hawajaja kumzika, ngoja nikamzike.

After all, anayezikwa ni Professor Philemon Sarungi, si watoto wake.

Sasa kama watoto wake wamekosea, kwa nini umuadhibu baba kwa makosa ya watoto?
 
Watz kumbe kila wakisoma wajinga sasa kwe da msiban s mambo ya familia ktk protocol ya urais prof s lazma aende at least ungeaikia namba mbili au tatu au mkuu wa majeshi mstaafu ety leo prof wa sua akifa huyo ukerewe raisi aanze kupanda vidau nyie nyie mpo local sana

Wa TZ wengi wanapenda shobo.

Halafu wanapenda kupelekwa na misheriasheria ambayo hata haijulikani nani kaiweka bila kujiuliza kama nyumbu.

Hawaelewi msiba ni kitu cha familia kuamua wanataka uweje.

Wanaanza kujiingiza kwenye misiba ya watu, kulaumu, kuwapangia watu, kama msiba wao.
 
Mkuu Mshana Jr , huyu Dr. Hezron Lwaitama, ni ndugu
na Dr. Azavel Feza Lwaitama?.

Rais kuhudhuria msiba wowote wa mtu yeyote unategemea mambo matano haya
  1. Kuna misiba ya viongozi ambao rais anapaswa kuhudhuria kama wajibu, akiwa na ratiba nyingine yoyote, anavunja hiyo ratiba na kuhudhuria msiba huo. Hiyo ni misiba ya viongozi wakuu, askari wanaokufa on duty yeye as CinC. Prof. Sarungi, sii kiongozi, hivyo sii lazima rais kuhudhuria msiba huo.
  2. Rais anawajibika kuhudhuria misiba ya wakuu wa nchi, akishindwa anawakilishwa.
  3. Rais anapaswa kuwa mfariji mkuu wakati wa majanga ya kitaifa ikiwemo kuhudhuria misiba ya majanga, Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni Ushujaa wa Kijeshi!
  4. Rais atahudhuria misiba ya mawaziri wastaafu, au viongozi wengine wote only if kama ana nafasi, bahati mbaya ratiba ya msiba wa Prof. Sarungi, imegongana na ratiba ya kikao cha CC na NEC Dodoma, hivyo rais hakuhudhuria kwa kukosa nafasi na sio kwa kumuogopa Maria!.
  5. Rais anaweza kuhudhuria msiba wa mwananchi mwingine yoyote, ndugu, jamaa na marafiki, kama mtu mwingine yoyote, na kutohudhuria msiba wowote sio kosa.
Huu ni mwaka wa
Uchaguzi, tujitahidi kupunguza au kuacha kumshutumu rais kwa vitu visivyo mhusu, ili kumuonyeshea ni mtu asiyejali!.

P
Mkuu PASKALI zingatia nafasi za Mzee Sarungi kwenye utumishi wake kisiasa na kiserikali Tanganyika
 
Sasa kama watoto wake wamekosea, kwa nini umuadhibu baba kwa makosa ya watoto?
Tusimuadhibu baba kwa makosa ya mtoto ?

Mzee Sarungi tumemuadhibu vipi
sasa ????

Mzee Sarungi is dead and gone. Tumemuadhibu vipiiiiiiii ?????

You not tryna insinuate tumemuua Sarungi, are you ???
 
Tusimuadhibu baba kwa makosa ya mtoto ?

Mzee Sarungi tumemuadhibu vipi
sasa ????

Mzee Sarungi is dead and gone. Tumemuadhibu vipiiiiiiii ?????

You not tryna insinuate tumemuua Sarungi, are you ???
Mzee Sarungi hata hapa unamuadhibu kwa kuchafua legacy yake.

Unawasema watoto wake kama unaijua familia wakati huijui.

Umejipachika kwenye msiba wake kama wewe ni mtu wa familia wakati wewe si mtu wa familia yake.

Yani badala ya kumuacha apumzike kwa amani, unaliburuza jina la familia yake kwenye matope wakati huu mgumu wa msiba kwa familia hii.

Mara watoto wameshindwa kuja kumzika baba yao, mara tumewazikia.

Unawasimanga watu hata huwajui, hujui sababu zao za kukosa kuja, hujui makubaliano na familia yao yakoje.

Umejipa umuhimu ambao huna, kwenye msiba wa watu wasiokujua.
 
Huyu lwaitama mpk mpk hapa nishamdharau inamaana rais kila anaitwa prof akifariki lazima aende wala sio kutuma mwakilishi kumbe huyu mpumbavu elimu haijamkomboa amekaa kama mpika ka horse mtaani
Watanzania wengi wana shobo na rais tu, kila kitu rais, rais.

Wanavyomlalamikia rais utafikiri rais akienda msibani marehemu anafufuka.

Halafu hao hao ndio wanasema wanataka kumpunguzia madaraka rais, ana madaraka mengi sana kikatiba.

Unataka kumpunguzia rais madaraka ya kikatiba wakati huo huo unataka kumuongezea madaraka ambayo hata hana kikatiba?

Contradiction.
 
Kuna mawaziri wangapi wastaafu wamefariki bila rais wa nchi kuhudhuria?. . Rais ana kikao Dodoma, msiba uko Dar
P
Hivi hawa watu wanaolazimisha rais awepo msibani wanajua hata Profesa Philemon Sarungi mwenyewe alitaka azikwe vipi?

Wanajua familia yake inataka azikwe vipi?

Au watu wanashoboka tu kuipangia familia?

Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, kaenda msibani, kapewa maneno yake na mjane wa Profesa Sarungi, kaambiwa hamkuonekana Profesa alivyokuwa anaumwa hata siku moja, leo amefariki mmekuja kufuata nini hapa?

Wasira akatoka nduki.

Sasa wanaolazimisha rais awepo wanajuaje kuwa Profesa Sarungi alitaka rais awepo?

Au watu wanalazimisha wanavyotaka wao tu bila hata kuangalia familia inataka nini?
 
Back
Top Bottom