Mkuu
Mshana Jr , huyu Dr. Hezron Lwaitama, ni ndugu
na Dr. Azavel Feza Lwaitama?.
Rais kuhudhuria msiba wowote wa mtu yeyote unategemea mambo matano haya
- Kuna misiba ya viongozi ambao rais anapaswa kuhudhuria kama wajibu, akiwa na ratiba nyingine yoyote, anavunja hiyo ratiba na kuhudhuria msiba huo. Hiyo ni misiba ya viongozi wakuu, askari wanaokufa on duty yeye as CinC. Prof. Sarungi, sii kiongozi, hivyo sii lazima rais kuhudhuria msiba huo.
- Rais anawajibika kuhudhuria misiba ya wakuu wa nchi, akishindwa anawakilishwa.
- Rais anapaswa kuwa mfariji mkuu wakati wa majanga ya kitaifa ikiwemo kuhudhuria misiba ya majanga, Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni Ushujaa wa Kijeshi!
- Rais atahudhuria misiba ya mawaziri wastaafu, au viongozi wengine wote only if kama ana nafasi, bahati mbaya ratiba ya msiba wa Prof. Sarungi, imegongana na ratiba ya kikao cha CC na NEC Dodoma, hivyo rais hakuhudhuria kwa kukosa nafasi na sio kwa kumuogopa Maria!.
- Rais anaweza kuhudhuria msiba wa mwananchi mwingine yoyote, ndugu, jamaa na marafiki, kama mtu mwingine yoyote, na kutohudhuria msiba wowote sio kosa.
Huu ni mwaka wa
Uchaguzi, tujitahidi kupunguza au kuacha kumshutumu rais kwa vitu visivyo mhusu, ili kumuonyeshea ni mtu asiyejali!.
P