Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Hivi hawa watu wanaolazimisha rais awepo msibani wanajua hata Profesa Philemon Sarungi mwenyewe alitaka azikwe vipi?

Wanajua familia yake inataka azikwe vipi?

Au watu wanashoboka tu kuipangia familia?

Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, kaenda msibani, kapewa maneno yake na mjane wa Profesa Sarungi, kaambiwa hamkuonekana Profesa alivyokuwa anaumwa hata siku moja, leo amefariki mmekuja kufuata nini hapa?

Wasira akatoka nduki.

Sasa wanaolazimisha rais awepo wanajuaje kuwa Profesa Sarungi alitaka rais awepo?

Au watu wanalazimisha wanavyotaka wao tu bila hata kuangalia familia inataka nini?
Si wengi wanajua hata burials zinalindwa na the right to privacy ndio maana kuna families wanazika kwa private burial
P
 
Unawasema watoto wake k

Yani badala ya kumuacha apumzike kwa amani
Tumwache apumzike ?

Na Nyerere nae tumwache apumzike !!!!!!

Sarungi is dead and buried. Tumwache apumzike kwani kubeba magunia Tandale Sokoni ???

Mwanzo ulisema nini tena, tuwaache waomboleze ? Tuwaache wazike ? Washazika na kuzika, tumewazuiaje kuzika ???? Ndio yale yale ya tusiingilie mahakama!

Marehemu aachwe apumzike kwa amani !! Kwani huko aliko marehemu kuna uvunjifu wa amani ????

Mtu akichemka wazungu wana msemo "ametaga mayai." Bro, you are laying eggs today. Tighten up!

Maria Sarungi and her immigrant siblings made a blunderous mistake. Heritage and tradition of family life across African societies demand that you come home to the fatherland and bury your father. Foodless peasant or prominent Othorpaedic, you come bury him. With dignity and solemnity they deserve.

You don't have papers in Australia or Hungary, okay, we get that, what about Maria in Nairobi ?

Philemon Sarungi must have died a lonely, childless, man.
 
Tumwache apumzike ?

Na Nyerere nae tumwache apumzike !!!!!!

Sarungi is dead and buried.

Tumwache apumzike kwani katoka kubeba magunia Tandale Sokoni ???

Mwanzo ulisema nini tena, tuwaache waomboleze ??
Ndio yale yale ya tusiingilie mahakama! Tunawazuiaje ???

Marehemu aachwe apumzike kwa amani !! Kwani huko aliko marehemu kuna uvunjifu wa amani ????

Mtu akichemka wazungu wana msemo "ametaga mayai." Bro, you are laying eggs today. Tighten up!

Maria Sarungi and her immigrant siblings made a blunderous mistake. Heritage and tradition of family life across African societies demand that you come home to the fatherland and bury your parent. Foodless peasant or prominent Othorpaedic, you bury him. With dignity and solemnity they deserve.

You don't have papers in Australia or Hungary, okay, we get that, what about Maria in Nairobi ?

Philemon Sarungi must have died a lonely, childless, man.
Mkuu,

Kweli unafananisha shughuli za mahakama, a public pillar of the state, na shughuli za faragha ya familia za mazishi?

Unaona sawa kabisa kulinganisha hizi shughuli mbili tofauti kabisa katika akili zako?

Halafu akili hizi hizi unataka kuzitumia kubishana na mimi?
 
Unaona sasa.

Tuna ombwe kubwa sana la werevu
Kiukweli tukubali tukatae, wenzetu Waarabu ni wastaarabu sana kwenye misiba, nimekaa Dubai, mtu akifa kabla jua halijachomoza, anazikwa kabla halijazama, na akifa mchana, anazikwa kabla halijachomoza, hivyo watu wanazika usiku.

Hakuna kumsubiri nani wala nani!.

Hata kwenye mambo ya usafi na kujiswafi, wenzetu Waarabu na Waislamu ni wasafi zaidi ya wazungu, Wakristo Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?
P
 
Lwaitama naye kakosea

Mwalimu, dr mzee ambaye hakua hata associate prof

Mkuu lakini si alikuwa mwalimu kweli ???

Na si wanafunzi wake wapo aliowafundisha??

Na chuo si kipo alipo kuwa anaripoti. Kufundisha??

Huo uassocciate inaomrinhishia umempunguzia mini??

Nawe umekuongezea nini yeye kutokuwa nao??

Hata hivyo kwa kazi, heshima na uongozi aliouonyesha marehemu sarungi kafa na uprofesa wake. Umempa faida faida gani.

Huo uprofesa unaomringishia Lwaitama umemzuia Sarungi kufa???

Kiongozi wa nchi, conforter in chief, kutohudhuria mazishi ya aliye kuwa waziri wa ulinzi, Daktari bingwa na mwanzilishi wa Moi kisa vijrmbe vya mtoto wa marehemu, tena wa kike is too low!!

Kitendo hicho ni sawa serikali imemuacha azikwe na manispaa!!!

Kanda ya ziwa wana mzoom ajue, katika kanda ya ziwa chezea yoote ila sio mtoto wa kike!!

Acha wasira awadanganye, muulize alivyochezea mtoto wa kike kilichompata!!

Sembuse huyu wa sasa, kwa maneno ya Heche "tena mwanaamke" mtashangaa Kwenye debe!!
 
You can't abstract the substance of my argument you only take accidentals.

The issue is social, cultural and traditional also, yet I have not simply appealed to historical practices nimekupa na logical explanation kwanini msiba kwanza unagusa familia kama sehemu ya jamii na jamii yote kwa ujumla. (Social justice). Kama Marehemu ni mwanajeshi jamii ya jeshi Ina haki naye nasi familia pekee nk..

You can't even recognize the contradiction of two sides emerged that impedes inferring conclusion/agreement. Thus I ask you to go back to your logic class.

Where have you explained? What have you explained?

Do you even know what explaining is?

You made a logical fallacy.

The logical fallacy is called argument from tradition.

Now, you are trying to brute force that I made a contradiction.

A contradiction that you cannot show, cannot explain.
 
Si wengi wanajua hata burials zinalindwa na the right to privacy ndio maana kuna families wanazika kwa private burial

Private burial is a Western phenomenon.

Hawanaga cha ubani, hawana cha rambi rambi.

Msiba wa Sarungi haukuwa private. They received truckloads of millions. And they never travelled for burial, so they are swimming in cash.

Private funerals wanatoa tangazo, tunataka faragha msibani. Utakuja kwa kualikwa.

Afrika hualikwi msibani. Hatuna kadi za misiba. Ukisikia unakwenda!

Private funeral wanatumia makampuni ya mazishi na wabeba mwili wa kukodi. Sisi tunambeba marehemu na kumzika kwa mikono yetu wenyewe.

Mmekwenda Ulaya mmebugia matamaduni ya watu kama madodoki. Na mandoa ya wanaume kwa wanaume, na matunda yasiyo na mbegu. Mnadhani kila cha mzungu ni bora. Chinua Achebe is tossing and turning in his grave. Things have fallen apart.

The three Sarungi children of diaspora betrayed the honor and memory of their father. You don't skip the burial of your father. You violated our way of life.

Forceful moral voice of Maria Sarungi that she had wielded to castigate the ills of this society, preaching not to fear an evil Government, was irreparably blunted today.
 
Ndugu Individualism ni utamaduni wa kimagharibi huo, mmagharibi anajitenga na mwingine (wanasema "is not my business"). Tangu awali mwafrika anaishi communal life. Mwafrika anajiona yeye ndani ya mwingine, hajitenganishi na mwenzake ndio mana hata familia zetu nyingi ni extended. Anaona hajakamilika nje ya jamii yake. That is an African way of thinking sio mihemuko.

Msiba ni haki ya jamii nzima Kwa Afrika hasa mbantu. Mengine sisi ndio tunaiga hayo mambo ya individualism yanayotutenga na wenzetu, si utamaduni wetu.
Je inaleta maana kuzungukia msiba wa mtu ambaye hukuwahi kumfahamu au kujua anapoishi kipindi chote cha uhai wake? Utakuwa unaomboleza nini? Tuelimike na kustarabika kama wa magharibi. Mbona waafrika wameiga mengi sana kutoka kwao,tena ya kipuuzi tu.
 
Huo

Huko si kustaarabika, human is social being by nature(wenzetu wameipoteza hii tunu mwishowe wanahamisha kwa wanyama). Individualism imeathiri Kwa kiwango kikubwa utu na ukaribu wa watu. Upweke ni mkubwa sana kiasi mpaka mtu kuwapa mbwa personality ya mwanadamu ili apate faraja maana kila mtu anajijua mwenyewe hata wazazi Kwa watoto.

Maisha ya jumuiya ni tunu Afrika ambayo magharibi wameipoteza na si barbaric life kama unavyodhani.
 
You can't abstract the substance of my argument you only take accidentals.

The issue is social, cultural and traditional also, yet I have not simply appealed to historical practices nimekupa na logical explanation kwanini msiba kwanza unagusa familia kama sehemu ya jamii na jamii yote kwa ujumla. (Social justice). Kama Marehemu ni mwanajeshi jamii ya jeshi Ina haki naye nasi familia pekee nk..

You can't even recognize the contradiction of two sides emerged that impedes inferring conclusion/agreement. Thus I ask you to go back to your logic class.
Kwani wapi nimekataa kuwa kama marehemu ni mwanajeshi, jamii ya jeshi ina haki naye?

Why are you making this an issue?
 
Huo
Huko si kustaarabika, human is social being by nature(wenzetu wameipoteza hii tunu mwishowe wanahamisha kwa wanyama). Individualism imeathiri Kwa kiwango kikubwa utu na ukaribu wa watu. Upweke ni mkubwa sana kiasi mpaka mtu kuwapa mbwa personality ya mwanadamu ili apate faraja maana kila mtu anajijua mwenyewe hata wazazi Kwa watoto.

Maisha ya jumuiya ni tunu Afrika ambayo magharibi wameipoteza na si barbaric life kama unavyodhani.
Mkuu hakuna tunu yoyote hapo ya kujumuika mtu akifa au harusi. Tungejumuika kumchangia mtu aliyekosa hela ya matibabu na kuunga foleni ya kumjulia hali hospital ningekubaliana na wewe. Inatia aibu siku hizi misiba imekuwa ni vijiwe vya umbeya.Tubadilike
 
Back
Top Bottom