Dkt. Homera aagiza watumishi wenye utendaji mbovu Jimbo la Namtumbo kuhamishwa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu.

Maagizo hayo ameyatoa wakati anakabidhi gari ya kubeba wagonjwa katika kituo cha afya cha kata ya Lusewa ambapo wananchi wa kata hiyo walitoa malalamiko ya mganga mkuu wa kituo cha afya cha kata ya Lusewa ambaye ametajwa kuwatoza wajawazito faini ya shilingi 50,000 pale wanapochelewa kwenda kuanza kliniki.

Pia mtumishi mwingine ni afisa mtendaji wa kata ya Lusewa ambaye ameshindwa kutekeleza majukumu yake ikiwemo kusimamia ufanisi wa miradi ya kata hiyo.

Wahamishishiwe Kizmkazi.

iwe Kizmkaz.
 
Ndio wanyonge wake haoo manesi na walimu.Stupid .
 
Huyu nyang'au ana damu ya Mdude, hatujasahau.

We shall revisit.
 
Sio kuhamishwa tu, ila watimuliwe kabisa wakajitafute kivingine.
 
😂 Wahamishwe 😂

Kwamba wapeleke ubovu wao sehemu nyingine 😂

Viongozi wa hii nchi bhana kumamazao

Basi wapelekwe kizimkazi
 
Back
Top Bottom