TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward Lowassa. Msabaha alijiuzulu uwaziri wa Afrika Mashariki mwaka 2008 pamoja na Nazir Karamagi aliyepokea mikoba ya wizara ya nishati kutoka kwa Ibrahim Msabaha kutokana na kashfa ya Richmond.
Karamagi anasemaje
 
MaKoNda kaponea chupuchupu kule mtwara
Na huko Mtwara kuna nini ?!
Mara moshi mara ajali ya gari sita kwa mpigo kama vile madereva walikuwa wanaendesha magari yao huku wamefumba macho tena yasiyokuwa na Breki !!
Salaaleeh Ntwara kuchelle πŸ™„πŸ˜³ !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…