mkushi wa kushi
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 657
- 993
Kwa maombi haya Kwa Kila atanguliaye shetani motoni yupo peke yakeInna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Mwenyezi Mungu msamehe dhambi zake na amjaalie makazi mema peponi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maombi haya Kwa Kila atanguliaye shetani motoni yupo peke yakeInna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Mwenyezi Mungu msamehe dhambi zake na amjaalie makazi mema peponi.
Hapo hakuna uzao wa 1960s mkuu hapo kuna uzao wa 1950sUzao wa 1960s wanaondoka kweli kweli, baada ya miaka 6 unafuata uzao wa 1970s
Mzee Mkapa alienda kivyakeile ya mwaka 2020 -2021 ndio ilikuwa funga kazi kiongozi yule alisindikizwa na waheshimiwa wengi sijui kuna siri maana inaonyesha kiongozi maarufu au mkuu anapofariki either kuna wanaomtangulia na wengine wanamfuata.
Bibi yangu yupo yeye ni wa 30sUzao wa 1960s wanaondoka kweli kweli, baada ya miaka 6 unafuata uzao wa 1970s
Ni kweli mkuu sema watu wanasahau tu, mwezi wa kwanza mwishoni mpaka mwezi pili, watu huwa wanakufa sana. Nadhani sababu ni hali ya hewa mbaya that's why onaona wanaumwa sana kipindi hiki. Nakumbuka hata captain Komba alifariki mwezi kama huu back then. Kwa hiyo haina uhusiano na the so called "mavuno"2021 ilianza hivihivi, miezi kama hii.
Mkuu wema hawafiduuu jamani kuna nini tena mbona watu wanoaondoka hivi a
alikuwa anaumwa nini tena?
Sometimes hivyo vitu huwa ni Changamoto nyingine kwa afya ya mgonjwa !Kuiba kote Jenereta na Viyoyozi vinawashinda?
1950s !Hapo hakuna uzao wa 1960s mkuu hapo kuna uzao wa 1950s
Hawa ni 50s buana siyo 60sUzao wa 1960s wanaondoka kweli kweli, baada ya miaka 6 unafuata uzao wa 1970s
Si vijana ni taifa la kesho, na miaka ya 70_90 ni ya mavuno ,tutasikia mengi.2024 mwaka wa mavuno.
2021 ilianza hivihivi, miezi kama hii.
duuu jamani kuna nini tena mbona watu wanoaondoka hivi a
alikuwa anaumwa nini tena?
Hivi Masaki kumbe bado maeneo ya kuishi bado yapo.Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri.
Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward Lowassa. Msabaha alijiuzulu uwaziri wa Afrika Mashariki mwaka 2008 pamoja na Nazir Karamagi aliyepokea mikoba ya wizara ya nishati kutoka kwa Ibrahim Msabaha kutokana na kashfa ya Richmond.
===============Former Minister of Energy and Minerals, Dr. Ibrahim Msabaha, has passed away on February 13, 2024, at the age of 72, while on the way from his home in Masaki, Dar es Salaam, to Muhimbili National Hospital.
FORMER MINISTER DR. IBRAHIM MSABAHA DIES AT 72
His Sister, Pili Msabaha, confirmed his demise, noting his prolonged illness and frequent hospital visits.
Dr. Msabaha also served as the Minister of East African Cooperation and Member of Parliament for Kibaha Constituency