Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya.
Katika hotuba yake ya uzinduzi, DKT. Jafari ameeleza mpango wa kujenga barabara mpya itakayounganisha majimbo matatu na kuanzisha hospitali yenye hadhi ya Wilaya katika Kata ya Nyarugusu itakayotoa huduma bora kwa wakazi wa jimbo la Busanda.