Nyie wajinga Huduma za afya sio majengo, Hospital za Serioali nyingi zina majengo makari sana ila hakuna anaye penda kulazwa Hospiyali za Serikali.
Sasa hawa wajanja wanawahadaa nyie wapumbavu kuwajengea Majengo na hamna muda wa kuwaliza vipi huduma zenyewe.
Unaweza toa huduma ya matibanu kwenye tenti na bado ikawa huduma standard, acheni kudanganywa nyie maboya