Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli bado tunamhitaji sana kama Taifa

Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli bado tunamhitaji sana kama Taifa

Faida nyingine ni kwamba uwezo wa nchi kukopa katika masoko ya Fedha na mitaji unapanuka kuliko ilivyokua awali. Kwahiyo tunaweza kukopa zaidi na kufanya mambo makubwa zaidi. Ni sawa na mangi awe anakukopesha sukari kilo mbili kwa sababu anajua mshahara wako ni laki moja. Siku akijua mshahara wako umeongezeka hadi laki 3 atakuambia sasa unaweza kukopa hadi kilo 5 bila wasiwasi.

Ufahamu wa kutosha, hongeraa.
 
Sema ninamuhitaji. Usituingizebkwenye mambo yako
 
Tulibanwa sana, kumbuka viongozi wa upinzani waliwekwa ndani na account zao kufungwa. Ilidhamiriwa wafungwe jela kama si michango ya wanachama wao. Hapa tulipofika pia ni hatua moja mbele.
Hivi Meko huwa haoni aibu pale mbinu zake chafu dhidi ya Chadema zinapofeli ?

I see Kikwete was way far better on how to deal hawa Chadema than this guy who is incharge currently.
 
Tunamhitaj JPM sana , tena akijaaliwa wananch wakaandamana kumtaka kwa mingine zaid na akakubal bac Nchi itapaa. Nchi zimemkubal had Corona imejua kuna JPM mwenye kumtanguliza Mungu. Viva JPM
 
Hivi Meko huwa haoni aibu pale mbinu zake chafu dhidi ya Chadema zinapofeli ?

I see Kikwete was way far better on how to deal hawa Chadema than this guy who is incharge currently.

Forensics review of ethos in political parties allowed the government to test good political culture against the country’s ultimate political culture hypothesis: that bacterial species in political parties which guild changes over time and drive decomposition of political culture fundamentally had to be redirected to modulate the tempo and return to basic culture.

Criminals had infiltrated the body politics including the ruling party and hastened the political cultures decomposition. As a nation, we are calibrating our political culture.
 
Mkuu Alex Fredrick, thanks for this, nikipata muda nitaitafsiri na kuwaambia Watanzania umuhimu wa kura yao ya ndio kwa Magufuli una maana gani kwa bara la Africa na dunia kwa jumla.
Magufuli ni Rais wa Africa ni Rais wa Dunia in a special way!.
Tarehe 28 October ni Magufuli tuu, Mitano Tena.
P

Mkuu Paskali naamini una uwezo mkubwa tu wa “imagination”. Unawezaje “kufafanua” ujinga na aibu tuliyofikia vikaoneka “lulu”? Inabidi uwe na uso wa chuma cha pua kweli kusimama mbele ya watu makini kujaribu kuweka “objectivity” kwenye vituko vinavyoendelea nchini leo hii.

Wengine tunaona haya sana. Tukiulizwa na waafrika wenzetu kuhusu janga lililoipata Tanzania miaka hii tunajikausha na kujifanya hatuna interest na mambo ya local politics. It’s a tragedy that’s really embarrassing. Au kwako ni zoezi la mzaha tu (satire). Kwamba awamu hii inakupa “material” kibao za kutandaza makala za kufanyia mzaha maumivu nchi inayoyapitia?

Anyway, jipe moyo. Kuna wenzako huko US nao wana kibarua kigumu cha kufuatilia na kutafsiri payuka za bosi wao Trump kwenye Twitter na kuzipa objectivity ziwiane na kauli za ki-sera!
 
Mpumbavu pekee ndio anaweza kuchagua tena maumivu matano tena
 
Anasubiri uteuzi wakati akijua kuwa jiwe litapondwa Pondwa na halitafaa hata kwa kokoto
 
Back
Top Bottom