Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Kama 5 yrs tu amejenga kwao mahoteli na uwanja wa ndege kijijini kwake akipewa 10 year si atahamishia hazina yetu kwao
Faida nyingine ni kwamba uwezo wa nchi kukopa katika masoko ya Fedha na mitaji unapanuka kuliko ilivyokua awali. Kwahiyo tunaweza kukopa zaidi na kufanya mambo makubwa zaidi. Ni sawa na mangi awe anakukopesha sukari kilo mbili kwa sababu anajua mshahara wako ni laki moja. Siku akijua mshahara wako umeongezeka hadi laki 3 atakuambia sasa unaweza kukopa hadi kilo 5 bila wasiwasi.
Hivi Meko huwa haoni aibu pale mbinu zake chafu dhidi ya Chadema zinapofeli ?Tulibanwa sana, kumbuka viongozi wa upinzani waliwekwa ndani na account zao kufungwa. Ilidhamiriwa wafungwe jela kama si michango ya wanachama wao. Hapa tulipofika pia ni hatua moja mbele.
Hivi Meko huwa haoni aibu pale mbinu zake chafu dhidi ya Chadema zinapofeli ?
I see Kikwete was way far better on how to deal hawa Chadema than this guy who is incharge currently.
Mkuu Alex Fredrick, thanks for this, nikipata muda nitaitafsiri na kuwaambia Watanzania umuhimu wa kura yao ya ndio kwa Magufuli una maana gani kwa bara la Africa na dunia kwa jumla.
Magufuli ni Rais wa Africa ni Rais wa Dunia in a special way!.
Tarehe 28 October ni Magufuli tuu, Mitano Tena.
P
Anasubiri uteuzi wakati akijua kuwa jiwe litapondwa Pondwa na halitafaa hata kwa kokotoMkuu Paskali naamini una uwezo mkubwa tu wa “imagination”. Unawezaje “kufafanua” ujinga na aibu tuliyofikia vikaoneka “lulu”? Inabidi uwe na uso wa chuma cha pua kweli kusimama mbele ya watu makini kujaribu kuweka “objectivity” kwenye vituko vinavyoendelea nchini leo hii.
Wengine tunaona haya sana. Tukiulizwa na waafrika wenzetu kuhusu janga lililoipata Tanzania miaka hii tunajikausha na kujifanya hatuna interest na mambo ya local politics. It’s a tragedy that’s really embarrassing. Au kwako ni zoezi la mzaha tu (satire). Kwamba awamu hii inakupa “material” kibao za kutandaza makala za kufanyia mzaha maumivu nchi inayoyapitia?
Anyway, jipe moyo. Kuna wenzako huko US nao wana kibarua kigumu cha kufuatilia na kutafsiri payuka za bosi wao Trump kwenye Twitter na kuzipa objectivity ziwiane na kauli za ki-sera!