Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
KAMEIBUKA KA TABIA KA UANZISHWAJI WA NYUZI ZA KUWAOMBEA MSAMAHA WABADHIRIFU WA MALI ZA UMMA NA WALE WANAOTENGULIWA KWA AMA UZEMBE NA SBB NYINGINEZO. HII NI TABIA YA HOVYO KWELI KWELI.
Kutumia millioni 80 kujenga bustani + na gharama za kulitunza. Bustani ambalo halina ata mabenchi ambayo watu wanaweza kaa na kufurahia mandhari. How do you justify that?
Hiyo ni sababu tosha hafai.
Kusema kweli tumerudi nyuma miaka zaidi ya 50!
Enzi za mwalimu Nyerere pamoja na kuminywa hasa na mabeberu( enzi hizo yalikuwa mabeberu kweli) lakini kwenye miji mingi kulikuwa na maeneo maalum ya garden na zilitunzwa vizuri.Leo kimekuja kizazi cha ajabu kinachofikiri recreation ni anasa.
Mwili wa binadamu unahitaji kuburudishwa ili kupunguza msongo wa mawazo kutokana na changamoto za kimaisha.
Tatizo kizazi hiki mimba zilitungwa bar kwa hiyo kuburudika ni eidha bar,guest house,ama unga na bangi.
Hakuna anayewaza kwenda garden kwenye utulivu,au hata cinema hall.
Kumbuka Wasukuma hawapendi kukalia viti, Mkurugenzi kafanya vile ili Wasukumu wakienda na ngozi zao za ngombe wapate kukaa chini bila shurti.Kutumia millioni 80 kujenga bustani + na gharama za kulitunza. Bustani ambalo halina ata mabenchi ambayo watu wanaweza kaa na kufurahia mandhari. How do you justify that?
Hiyo ni sababu tosha hafai.
Tatizo si kwamba tupo JF basi unatuchukulia powa.Mbunge Msukuma tu Gari lake anadaiwa na Kampuni ya Toyota milioni 20 barua kwa spika leo atakubali gari jipya la milioni 400. acheni Mkurugenzi apumzishwe mtamponza afukuzwe kabisa.
mmeshaambiwa kuna Tume imeundwa akachunguzwe acheni lifanyike
Bajeti ya kununua lile gari ilipitishwa na Bunge la Jamhuri
Utekelezaji wake uliridhiwa na Baraza la Madiwani...