Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe".

Mkurugenzi kafanya mengi
  • Kajenga Zahanati,
  • Kadhibiti mianya ya rushwa,
  • Kajenga shule za msingi
  • Kaongeza mapato ya halmashauri,
  • Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake,
  • Kadhibiti makazi holela,
  • Na mengine mengi mazuri jamani
Mkurugenzi, nawe jiombee msamaha kwa kuwa Rais wetu ni msikivu na mwenye huruma.

Mungu akuongoze vema
Bila shaka wewe ndiye mkurugenzi mwenyewe,nenda kaombe radhi physically,atakuelewa "may be"
 
Back
Top Bottom