Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

Hapana mkuu nimeguswa tu na nikaamua kuungana na wengine kumuombea msamaha. Ni mtanzania mwenzetu pia kumbuka hilo.
Hatuwezi kua na mitanzania isiyokua mizalendo to that extent, Nimemuelewa Sana msukuma na anahitaji pongezi kubwa. Nimeenda Geita mji Kuna vijiji huko tabu tupu Hali mbayaaa Kama Kijiji Cha Bung'wangoko kipo Geita mji hali ya wananchi Ni tabu tupu Mimi Kama binadamu ukiniambia niishi huko Ni mateso lakini mtu anapata jeuri ya kuagiza gari ya 400mil kwelii?? Nae anahitaji huruma huyu??
 
Mbona mkuu kajenga uwanja chato bila kufuata utaratibu? Mbona kanunua ndege bila utaratibu na kumzuia ha CAG asikague. Kumbuka ishu ya Korosho.

Ebu tafakari tu kidogo
We kwani unaongelea nini mkuu?
 
Kubwa zaidi aliongoza na kuratibu wizi wa kura kwa ustadi na umahiri wa hali ya juu.
 
Bajeti ya kununua lile gari ilipitishwa na Bunge la Jamhuri

Utekelezaji wake uliridhiwa na Baraza la Madiwani...
Kama huo mchakato ni kweli ulifanyika hivyo, walitarajia yy aubatilishe vipi?
 
Be quantitative, mf.kazuia rushwa kutoka matukio mangapi ya rushwa mpaka matukio mangapi leo hii?.Ukute huijui Geita vizuri,
 
Can u please re- read what you have written.
 
Hujasema ulipewa mgao sh ngapi.
Nadhani tunakosea kuhusisha huruma na migao ya fedha - ili nikuombee wewe mpk unipe fedha?

Namwombea bure kabisa, kafanya mengi hapo halmashauri - kasimamia makubwa pale halmashauri - kaitangaza kwingi hiyo halmashauri
 
For sure, huyu DED yuko vizuri - GGM wamemjaribu sana lkn wapi! Wanaotaka kandarasi hususan wanasiasa wamemjaribu wapi! Mwanasiasa mmoja eti wakati nafasi za watendaji zimetangazwa alikuja na majina mkononi akitaka apewe kipaumbele - DED akamjibu kuwa wataajiriwa wenye sifa tu na watapitia taratibu zote kabla ya ajira - hapo napo nongwa ikaanza

Sasa wameona njia ya kumpata ni kupitia manunuzi ya gari
 
Kumbe mkuu ,hapa umetufungua akili,wenda msukuma pamoja nakuibua hoja ya gari ambayo ilikua na mashiko binfsi pia nilimuunga mkono,ila pia wenda ana bifu binafsi, so mkurugenzi haojiwe, Kama wapo wanaomchomekea KWA maslai binafsi kupitia MGONGO wa manunuzi ya magari ,nao washughulikiwe,
Maana aya Mambo yapo kwenye ofisi za umma na binafsi ukiwa ukwibi, alafu umezungukwa na majizi yatakusakama mpaka basi,
 
Unamuombea mwanaume mwenzio msamaha mpaka ukirudi mkeo atashangaaa unalipwa bei gani
 
Kuwa DED maeneo anayotoka mtawala ni kazi ngumu sana

Nakumbuka ma DED wa Bagamoyo.

Ukimkomalia mtu ushuru unakuta ni Mpwa au Shemeji wa Taifa

Nayaelewa sana mazingira hayo
Mkuu pole sana.kumbe ulishakuwaga DED mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…