Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe".
Mkurugenzi kafanya mengi
- Kajenga Zahanati,
- Kadhibiti mianya ya rushwa,
- Kajenga shule za msingi
- Kaongeza mapato ya halmashauri,
- Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake,
- Kadhibiti makazi holela,
- Na mengine mengi mazuri jamani
Mkurugenzi, nawe jiombee msamaha kwa kuwa Rais wetu ni msikivu na mwenye huruma.
Mungu akuongoze vema