Dkt. John Pombe Magufuli akikubali tu, niko tayari kumpokea kijiti hicho 2025

Wewe amekuunyima hata u afisa tarafa,unaota kuwa rais?
 
Ungenukuu katiba inasemaje vs wapi napwaya - nachofahamu ni kuwa ktk uongozi sitafahamu kila kitu, jambo na ili niongoze nitapaswa kuwaamini na kuwapa nafasi wasaidizi, wajuzi, na wataalam. Vinginevyo sidhani iwapo unanihukumu kwa haki
 
Mpaka hapo hufai kuwa rais.

Kwa sababu, badala ya kuwaomba ridhaa wananchi watakaopiga kura, unamuomba ridhaa Magufuli.

Kwani unataka kuwa rais wa Magufuli au rais wa nchi?
 
Hii nchi ilibidi iongozwe na watu ambao wamefsnya mambo ya pekee kwa jamii, mtu Kama Bakheresa,Charles Kimei, Tundu Lisu, January Makamba, kuliko kuwapa watu wanaotaka kutajirika kupitia migongo ya Watz.
tundu lissu amefanya jambo gan la pekee, nlikuaga na imani na chadema but not anymore , ccm for life!
 
Sawa umeeleweka
 
Mpaka hapo hufai kuwa rais.

Kwa sababu, badala ya kuwaomba ridhaa wananchi watakaopiga kura, unamuomba ridhaa Magufuli.

Kwani unataka kuwa rais wa Magufuli au rais wa nchi?
Dkt John Pombe Magufuli ni mwananchi namba 1, kiongozi namba 1, na mtawala namba 1.

Akiafiki atakuwa na uwezo mkubwa wa kuwaeleza wananchi wenzetu kwa nini mimi na si mwingine

Briefly, huu ni muda wa kuomba kuaminiwa na taasisi ya CCM, kisha wananchi watatupima na kufanya maamuzi kwa wakati mwingine ufuatao
 
Kwani LiSSU ndiye alizuia wananchi kuchangia madawati na madarasa mpaka watoto wengi wamekosa sehemu ya kusomea?
Hawatakujibu,
Sana sana alizuia wananchi kuchangia ujenzi wa miundombinu Ikungi kisha yeye akaenda kula maisha Ubelgiji
 
Ukweli ni kwamba hata raundi ya 16 bora hufiki.Komalia uenyekiti wa CCM ngazi ya tawi(Kijiji/mtaa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…