Dkt. John Pombe Magufuli ameanza kuishiwa na rasilimali watu - siyo kawaida yake kukaimisha

Dkt. John Pombe Magufuli ameanza kuishiwa na rasilimali watu - siyo kawaida yake kukaimisha

Zamani tulizowea wakuu wa idara mbalimbali ndani ya halmashauri au walioko Tamisemi makao makuu ndio wanateuliwa kuwa wakurugenzi maana wana uzoefu na masuala ya uendeshaji wa halmashauri...kwa miaka hii imekuwa tofauti kabisa. Hili la kuteua walioangushwa kwenye uchaguzi liangaliwe upya, bora kuteua kutoka ndani ya halmashauri au tamisemi maana wana uzoefu na taratibu za uendeshaji wa halmashauri
 
Back
Top Bottom