Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam!
Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana.
Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa ya kutoshereza wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2021 wananchi tujitoe kwa hali na mali kujenga, kuchangia ujenzi wa madarasa ili watoto waliofaulu wajipatie Elimu ya bure.
= CHADEMA mwambieni hata Tundu Lissu kuwa akitujengea hata vyumba 50 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi.
= ACT Wazalendo mwambieni hata Bernard Membe kuwa akitujengea hata vyumba 31 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi. Hiki ndiyo kipimo cha uzalendo kwa ninyi mnaojiita wanaharakati.
Maendeleo hayana vyama!
Msakila M Kabende
Kigoma