Dkt. John Pombe Magufuli amefanikiwa - tuchangie ujenzi wa madarasa

Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam!

Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana.

Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa ya kutoshereza wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2021 wananchi tujitoe kwa hali na mali kujenga, kuchangia ujenzi wa madarasa ili watoto waliofaulu wajipatie Elimu ya bure.

= CHADEMA mwambieni hata Tundu Lissu kuwa akitujengea hata vyumba 50 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi.

= ACT Wazalendo mwambieni hata Bernard Membe kuwa akitujengea hata vyumba 31 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi. Hiki ndiyo kipimo cha uzalendo kwa ninyi mnaojiita wanaharakati.

Maendeleo hayana vyama!
Msakila M Kabende
Kigoma
Kutokana na ugawaji holela wa maburungutu ya hela na kufuru ya matumizi ya hela kwenye kampeni za CCM! Siwezi kuchangia asilani.
 
Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam!

Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana.

Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa ya kutoshereza wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2021 wananchi tujitoe kwa hali na mali kujenga, kuchangia ujenzi wa madarasa ili watoto waliofaulu wajipatie Elimu ya bure.

= CHADEMA mwambieni hata Tundu Lissu kuwa akitujengea hata vyumba 50 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi.

= ACT Wazalendo mwambieni hata Bernard Membe kuwa akitujengea hata vyumba 31 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi. Hiki ndiyo kipimo cha uzalendo kwa ninyi mnaojiita wanaharakati.

Maendeleo hayana vyama!
Msakila M Kabende
Kigoma
Hakuna uteuzi Tena,nchi hii Haina mipango,auze Bombardier moja,na Dreamliner ajenge madarasa,
 
Nasikia DiPiPi kakusanya mapesa mengi sana mwaka jana. Watumie hayo kujenga madarasa maana sidhani kama yalikuwepo katika makisio ya mapato
 
Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam!

Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana.

Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa ya kutoshereza wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2021 wananchi tujitoe kwa hali na mali kujenga, kuchangia ujenzi wa madarasa ili watoto waliofaulu wajipatie Elimu ya bure.

= CHADEMA mwambieni hata Tundu Lissu kuwa akitujengea hata vyumba 50 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi.

= ACT Wazalendo mwambieni hata Bernard Membe kuwa akitujengea hata vyumba 31 tutathamini mchango wake badala ya kitushibisha dhihaka nyakati za uchaguzi. Hiki ndiyo kipimo cha uzalendo kwa ninyi mnaojiita wanaharakati.

Maendeleo hayana vyama!
Msakila M Kabende
Kigoma
1.5Tilioni zilizotumika kujenga uwanja wa Chato zingemaliza hili tatizo,
Hakuna hata mtoto mmoja wa waziri anayesoma hizi shule,hakuna mzazi mwenye kipato Cha 900K kwa mwezi anayesomesha mtoto wake kwenye hizi shule,sembuse mawaziri,wabunge,wakurugenzi.
 
Kwanza hujaweka namba ya simu..

Pili, Pesa yangu sitoi,

Tatu, MiTANO TENA...
Nyie ni watu wachache sana kati ya waliompa kura Magu kutokuchangia kwenu hakutomsumbua acheni muone kama hawatachangia.

Kuliko kuwachangia vyama vya upinzani ni bora kuchangia madarasa tu au taasisi zisizo za serikali kwani kuwachangia upinzani ni kuwashibisha viongozi wenu na kuleta migogoro ndani ya vyama vya upinzani kugombea posho.
 
Okay! Kumbe 1.5t walizitafuna wapinzani kupitia midomo ya maccm! Wewe si bure.
 
Nyie ni watu wachache sana kati ya waliompa kura Magu kutokuchangia kwenu hakutomsumbua acheni muone kama hawatachangia.

Kuliko kuwachangia vyama vya upinzani ni bora kuchangia madarasa tu au taasisi zisizo za serikali kwani kuwachangia upinzani ni kuwashibisha viongozi wenu na kuleta migogoro ndani ya vyama vya upinzani kugombea posho
Elimu bure.Wakati mnaanzisha hata kuchangisha wananchi mlikuwa mnakataa,Leo imekuwaje?
Unsustainable plan=Unsuccessful plan
 
Ninamsifia sababu iko wazi
Huyu mada zake zote ni kumsifia Magufuli, tatizo haweki number .. 🤣 🤣 🤣 🤣 ...

Ila swala la kukosa madarasa ni aibu kwa nchi yenye mandege kibao,.. mkuu wa kaya angefanya kubalance na ku prioritize mambo
Sababu za kumsifia ziko wazi jmn - mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
 
Ngoja nikomment kabla ya kusoma uzi wote.
Hivi hii awamu ya 5 ndio iliyokuja kufuta ada shule za msingi?
Au ada ilifutwa tangu enzi za Mkapa?
 
Back
Top Bottom