Dkt. John Pombe Magufuli, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif watuzwe udaktari wa heshima

Siku ukitia akili kichwani UTAELEWA TU kwa sasa endelea na UMBUMBUMBU wako.
BAK, jamani hivi kweli tukio kama hili lililotokea Zanzibar hukuliona? Unataka viongozi wawe na mtima gani
 
Kweli kwa kuua wazanzibar wakati wa kampeni na kujitangaza washinda wanastahili kupewa udokta wa mauaji
 
Ukiona CCM wamefurahi kupita kiasi ujue huyo ni kuku wao hana haja ya manati
 
Itasaidia nini; waswahili kwa kupenda mataito hatujambo sana, ndiyo maana utakuta mtu anaitwa Mheshimiwa Rais Dr JPM, yaani title tatu kwa mpigo!

Uliwahi kusikia rais Obama akiitwa President Dr Obama au President Professor Obama ingawa kweli alikuwa professor wa Law University of Chicago na ana Juris Doctor degree. Au uliwahi kusikia Condoleeza Rice naye akiitwa Secretary Dr Rice, au Secretary Professor Rice ingawa alikuwa na Ph.D, na alikuwa professor and Provost (Cheif Academic Officer) wa Stanford! Ila sasa njoo kwetu uwasikie, hata wale wenye digrii za kununua kama Marehemu Makongoro Mahanga, Mary Nagu, Marehemu Disas Masaburi ( Huyu alinzisha shule ikaitwa "Dr. Didas Masaburi Secondary School"!) na wengine ambao walikuwa wengi sana kabla ya enzi za jiwe! Alipokuja huyo jiwe madarakani na kuanza kufuatilia elimu za kugushi wote wakazifuta title hizo haraka sana.
 
Wewe ni punguani. Hata ukisagwa sagwa kama mchangia na ukaumbwa tena upya huwezi kuwa na akili. Wasted sperm
 
Nakukumbusha umesahau kuweka namba yako ya simu.
 
Ukiona CCM wamefurahi kupita kiasi ujue huyo ni kuku wao hana haja ya manati
No thanks!
Siku zote tunaishi kwa maridhiano - masuala ya jino kwa jino huathiri taifa (uchumi hudorora, maisha ya watu hupotea, miundombinu ya umma huharibiwa). Maalim, Mwinyi na Magufuli wametumia busara sana
 
No thanks!
Siku zote tunaishi kwa maridhiano - masuala ya jino kwa jino huathiri taifa (uchumi hudorora, maisha ya watu hupotea, miundombinu ya umma huharibiwa). Maalim, Mwinyi na Magufuli wametumia busara sana
Kwa hiyo muwe mnaharibu uchaguzi makusudi kisa mtafanya maridhiano? shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…