Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Aisee π€£π€£π"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836
"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836
Taaluma imepatwa.
Atakuwa na bahati sana kama ataitwa hata kusuluhisha mgogoro wa majogoo wawili wanaogombania tetea."PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836
Aisee! Huku ni kupatwa kwa jua!"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836
Dunia inaenda kasi sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91]
Angalau huyu!
Bange ikitumiwa vibaya inajeruhi na kuharibu kabisaaa"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836