The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Si huyu huyu alikuwa anazidharau hizo PhD... Sasa inakuwaje leo anazipapatikia, tena za kununua."PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836
Hata kufanya mihadhara ya vyuo vikuu vikubwa duniani unaweza,, PI Hechi Dii si mchezo sheikh, ila kwa kuanza anzia pale Mlimani ya U-Dom kuna wanafunzi wa Science ya siasa anza kuwafua fua."PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836
Duuu, aibu nione mimi!"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
https://t.co/qxUmXsmHfu
View attachment 2034836
Anastahili pongeziHongera sana kwake.
Yes, kweli kabisa.Anastahili pongezi
Hadhi ya tuzo yoyote ile inayotolewa kwa mtu, kampuni ama taasisi yoyote ile inategemea pia hadhi ya mtoa tuzo. Ili tuzo ikapate kuaminika na kukubalika mbele ya jamii, basi ni lazima mchango wa muhusika kwenye nyanja fulani ya maisha uwe wenye kutambulika wa wabobezi wa mambo, wataalamu ikiwamo na wanataaluma pia.Phd holder Dr.Joseph Msukuma.
Dunia inaenda kasi sana wakuu.
Yaani huyu mdau kajimaliza kisiasa. Na waliomuandalia hili tukio wana akili sana. Yaani 2025 hawezi kupita tena. Vyombo vya habari vitalipwa ili wamuandike ana elimu fake. Ikija NEC watamkata kwa sababu ya kukosa weledi wa kuwa na elimu fake. In short poor mind yake imepelekea kujikaanga. He will never rise again kumuongelea Dkt Magufuli kwa sababu hakuna atakaye mchukulia serious kwa sababu ana elimu fake. Inasikitisha sana."PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
View attachment 2034836
Atatumia lugha gani kufanya usuluhishi?Ng'ombe kama ng'ombe!Msukuma anasukuma kweli kweli.Kwa hiyo kutatua migogoro kimataifa?.Hayo ni maajabu mengine ya dunia ambayo ni kivutio maalum cha utalii.
Anadhani dunia nzima inongea kisukuma"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
View attachment 2034836
Tafuta pesa,punguza wivu na makasiriko.