Dkt. Joyce Singano awa Mtanzania wa kwanza kupata Medali ya Brady

Dkt. Joyce Singano awa Mtanzania wa kwanza kupata Medali ya Brady

Mfano wa uhalisia na Kwa kifupi mambo Dr. Joyce Singano anayoyafanya ktk mazingira mbalimbali iwe baharini au nchi kavu kutafiti miamba na udongo:
Mfano wa Maabara ya Micropaleontology / Lab profile : Micropaleontology : kuangalia Dalili za diatoms, dinoflagellates, foraminifera kwa kutumia darubini ya maabara kuweza kukadiria umri wa sampuli za udongo n.k


The micropaleontology team on Expedition 374 look at the microfossils in the sediment cores that come on deck. The team looks at diatoms, dinoflagellates, foraminifera, and radiolarians under their microscopes to help estimate the ages of the sediment
Source: the JOIDES resolution

​

 
Hawa akina joyce huwa wana mazali yao,kijana mwny mchumba anaitwa joyce usimcheleweshe,mweke ndani ila asiwe kama joyce kiria,atakasumbua ateleast awe kama joyce ndalichako.
😅😅😅😅😅😅
 
hongrea sana dk singano mwenye machapisho yake ayaweke bass au.mawasiliano nayee i wish niyasome niongeze maujizi yangu ya miamba ..
 
Back
Top Bottom