Dkt. Kalemani: Taasisi zinazodaiwa Bilioni 182 za umeme zikatiwe

Dkt. Kalemani: Taasisi zinazodaiwa Bilioni 182 za umeme zikatiwe

Wafungiwe luku ,kama ni ikulu. Jwtz ,polisi ,magereza. Wapate luku wote hao maana ndo wadaiwa sugu.
 
Kalemani aache usanii.Awakatie Jeshi na Polisi kwanza amao miaka yote ni wadaiwa sugu.
 
Back
Top Bottom