Mwenyekiti wa bodi ya Tanesco na waziri wa nishati ninaomba kukujulisha kuwa mkurugenzi waTanesco Tanzania ana matatizo kwenye utendaji wake especially kupitishwa miradi ya umeme mikoani.unakuta mameneja wa Tanesco mikoani wametuma bajeti za miradi mipya ya kusambaa umeme mikoani kwa wateja, mkurugenzi mkuu wa tanesco anakalia miradi hiyo kwa zaidi ya mwaka mzima bila utekelezaji kuipitisha ifanyike au kutuma fedha ili miradi ufanyike.
Mkuu hili shirika linahitaji maboresho makubwa sana lasivyo sijui.Ungewatagi TANESCO. mnaitwa huku ,hata huyu meneja wa Kanda astahili kabisa ilitakiwa muanze naye. Kwa ujumla Tanesco Mbeya menejimenti nzima inatakiwa kufumuliwa madudu sana hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hata mimi Nina madudu yao mengi wanayoyafanyaMkuu hili shirika linahitaji maboresho makubwa sana lasivyo sijui.
Yaani mkuu najiuliza hili shirika linafanya biashara gani. Yaani mteja anakuletea hela unamuomba rushwa tena. Mbona idara ya maji hamna ujinga kama huu?TANESCO rushwa imekuwa kama kawaida.
Nimejaza fomu naambiwa nimlipe surveyer aje chap. Nikatoa RUSHWA (JAPO NAJUA NI KOSA)
siku hiyo hiyo akaja.
Baada ya siku 10hv nimeitwa kulipia gharama za kuunganishiwa. Nako wameomba RUSHWA kwa kuwa fomu imepitia shot cut.
Hapa nasubiri kuletewa mita nione wataomba tena ngapi.
Na wote waliounganishwa WAMETOA RUSHWA LAA SIVYO UNAKAA MPAKA BASI
Takukuru njooni mmchukue huyu mteja wenuTANESCO rushwa imekuwa kama kawaida.
Nimejaza fomu naambiwa nimlipe surveyer aje chap. Nikatoa RUSHWA (JAPO NAJUA NI KOSA)
siku hiyo hiyo akaja.
Baada ya siku 10hv nimeitwa kulipia gharama za kuunganishiwa. Nako wameomba RUSHWA kwa kuwa fomu imepitia shot cut.
Hapa nasubiri kuletewa mita nione wataomba tena ngapi.
Na wote waliounganishwa WAMETOA RUSHWA LAA SIVYO UNAKAA MPAKA BASI
nipo hapaTakukuru njooni mmchukue huyu mteja wenu
Kumbe dawa ni kuwa na sura ya mbuziMbeya wamezidi mimi nilikaa miez 5 tulisumbuana sana wanajibu shortcut tu as if mtu umeenda kuomba msaada kumbe unadai haki yako ...niliwatolea uvivu hao wadada wa reception hadi nikafika kwa meneja akanitatulia ndani ya week moja.
TANESCO rushwa imekuwa kama kawaida.
Nimejaza fomu naambiwa nimlipe surveyer aje chap. Nikatoa RUSHWA (JAPO NAJUA NI KOSA)
siku hiyo hiyo akaja.
Baada ya siku 10hv nimeitwa kulipia gharama za kuunganishiwa. Nako wameomba RUSHWA kwa kuwa fomu imepitia shot cut.
Hapa nasubiri kuletewa mita nione wataomba tena ngapi.
Na wote waliounganishwa WAMETOA RUSHWA LAA SIVYO UNAKAA MPAKA BASI
Yaani mkuu unaweza hata kuwachapa ngumi kwa hasira. Hawapo kibiashara kabisaYaani haya mashirika ya serikali ni hovyo kabisa.Hayapo kibiashara zaidi ya rushwa na ukiritimba ili upate huduma.
Namuonea huruma ngosha anayerudisha biashara ifanywe na taasisi za serikali.