Dkt. Kalemani tunaomba imulike TANESCO jiji la Mbeya rushwa imezidi kuunganishiwa umeme

Dkt. Kalemani tunaomba imulike TANESCO jiji la Mbeya rushwa imezidi kuunganishiwa umeme

Hawa Tannesco ni kimeo. Hadi sasa ni zaidi ya miezi miwili nafuatilia kurudishwa katika watumiaji wadogo wa umeme lakini kila nikienda napigwa tarehe. Jamaa wananiamnia niongee vizuri na mhasibu (nimpe rushwa) na mimi siko tayari kutoa rushwa.

Namtafutia kona mzuri ya kumbana huyo mshenzi.
Tafadhali onyesba namba ya simu
 
UPDATE

Hatimaye TANESCO wamekuja leo. Wamechimbia nguzo na kuondoka sasa sijui umeme wataweka lini.

My take; TANESCO mjirekebishe kama mimi niliyeweza kulalamika na kusaidiwa je, wasioweza kulalamika humu wanasaidiwa vipi?

Shukrani afisa mawasiliano.
 
Tunashukuru sana
 
Tunashukuru sana
Nami ninashukuru Sana,miradi mipya ya nishati ya umeme Kanda ya ziwa mikoa ya geita na simiyu imepitishwa Sasa tunamsubiri wakandarasi waingie site wawapatie wananchi umeme October 28,wakakipigie chama tawala Kura za ndiyo na za kutosha. Mungu mbariki mh magufuli
 
Karibu sana muheshimiwa mkuu wetu
 
Karibu sana muheshimiwa mkuu wetu

Tanesco kwa dhati kabisa na kwa niaba ya wananzengo wenzangu wa mwahuli kisesa mwanza napenda niwashukuru sana. Na kama mliweza kushughulikia malalamiko yetu hasa nyie wa hapa JF. Basi nasema Asante sana finally na sisi tumepata umeme. Shukrani sana tena sana huo ndo uungwana. Kazi njema sana wakuu
 
Tunashukuru sana wapendwa wateja wetu endeleeni kufurahia maisha na umeme
 
Karibu sana muheshimiwa mkuu wetu
Kule mkoa wa Geita, Tanesco wako kikazi zaidi, ukweli ni wachapa kazi usiku na mchana. Meneja wa tanesco mkoa wa Geita anastaili Tanesco impongeze na sisi wananchi tunampongeza 💯 ni jembe.
 
Kule mkoa wa Geita, Tanesco wako kikazi zaidi, ukweli ni wachapa kazi usiku na mchana. Meneja wa tanesco mkoa wa Geita anastaili Tanesco impongeze na sisi wananchi tunampongeza [emoji817] ni jembe.
AHSANTE sana mkuu wetu
 
Pole sana Mkuu. Beba risiti zako zote zinazoonyesha kuwa umelipia kupata Umeme Miezi NANE(!) iliyopita, nenda moja kwa moja kwa Meneja was Mkoa na pata Kauli take kuhusu hili....usipolmuelewa kubali gharama ya kufika Dar ama kumuandikia Ujumbe was moja kwa moja Waziri husika kumueleza unavyokwamishwa na Tanesco Njombe.
Nina hakika kuwa kuna mahali tu utapata Haki yako...
 
Nililipia tarehe 16/September/2020 itanichukua mda gani mpaka umeme uwake
Nipo dar kata CHANIKA,
WILAYA YA ilala
Ila tunalipia WILAYA ya KISARAWE mkoa wa PWANI
 
kalemam ni moja ya wabunge hovyo kbs kw wananchi wa jimbo lake,
sema tu anabebwa,
ila 2025 usirud
 
Wana mbeya utopolo mwingi sana ndiomana kila kitu rushwa rushwa tu mnakubali yaishe haraka Sana, mnaundezi Sana kwenye kudai haki
 
Back
Top Bottom