Dkt. Kalemani tunaomba imulike TANESCO jiji la Mbeya rushwa imezidi kuunganishiwa umeme

Tanesco sikuhizi yaani umeme mnakata tuu kila siku wiki hii karibu yote, twambieni kama kuna mgao ili tujue maana vitu vinaharibika tu.
Goba hii
Goba eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
 
Tumepokea mkuu tunaifanyia kazi
Toka asubuhi majibu ndio mnaleta saa hizi?😆😆 na Jibu lenyewe ndio hili la kuwa mtaifanyia kazi, badilikeni aisee. Mtu wa online service kama wewe lazima uendane na wakati, majibu ya papo kwa papo. Kwa muda uliouweka ilitakiwa uje na jibu kuwa 'kesho saa 2 mafundi wanakuja hapo kukufungia umeme' sio jibu la kusema mtafuatilia.

Kifupi Mhe. Kalemani leo amepokea simu na saa 10 jioni mafundi wamekuja na kujenga nguzo zote mbili na umeme wakaunganisha sasa mambo ni poa. Hivi ndivyo mambo yanavyopaswa yaende, utekelezaji ni papo kwa papo.
 
Toka asubuhi majibu ndio mnaleta saa hizi?[emoji38][emoji38] na Jibu lenyewe ndio hili la kuwa mtaifanyia kazi, badilikeni aisee. Mtu wa online service kama wewe lazima uendane na wakati, majibu ya papo kwa papo. Kwa muda uliouweka ilitakiwa uje na jibu kuwa 'kesho saa 2 mafundi wanakuja hapo kukufungia umeme' sio jibu la kusema mtafuatilia.

Safi sana , itabidi tuwe tunawanyokea tu viongozi ili watambue tabu tunazozipata
 
Toka asubuhi majibu ndio mnaleta saa hizi?[emoji38][emoji38] na Jibu lenyewe ndio hili la kuwa mtaifanyia kazi, badilikeni aisee. Mtu wa online service kama wewe lazima uendane na wakati, majibu ya papo kwa papo. Kwa muda uliouweka ilitakiwa uje na jibu kuwa 'kesho saa 2 mafundi wanakuja hapo kukufungia umeme' sio jibu la kusema mtafuatilia.

Kifupi Mhe. Kalemani leo amepokea simu na saa 10 jioni mafundi wamekuja na kujenga nguzo zote mbili na umeme wakaunganisha sasa mambo ni poa. Hivi ndivyo mambo yanavyopaswa yaende, utekelezaji ni papo kwa papo.
Asante kwa mrejesho wako
 
Tunashukuru sana ni wajibu wetu kukuhudumia
Inabidi muweke deadline ya mtu aliyelipia kujua ni lini atapata huduma. Pia muende kwa kasi kuhudumia watu. Hapa mjini watu wengi hawana umeme na nyie mnafanya biashara, inabidi muwe business oriented. Wekeni investigation unit kufuatilia performance ya kila mkoa kwani kuna ubaya gani mtu akilipia leo baada ya wiki akapata huduma?
 
Inakuaje mtu analipia mwanzo alafu wa mwisho anapata huduma? Kwani hamna checklist yenu kufuatilia? Idara yenu ya stores imeoza. Uliza mtu yoyote kama hajawahi toa rushwa Tanesco bas ujue alisubiri sana. Haya mambo myafuatilie kw a kina yanawaaribia taswira yenu
 
Inabidi muweke deadline ya mtu aliyelipia kujua ni lini atapata huduma. Pia muende kwa kasi kuhudumia watu. Hapa mjini watu wengi hawana umeme na nyie mnafanya biashara, inabidi muwe business oriented. Wekeni investigation unit kufuatilia performance ya kila mkoa kwani kuna ubaya gani mtu akilipia leo baada ya wiki akapata huduma?
Tunashukuru kwa ushauri tutaendelea kuboresha utoaji wa huduma zetu
 
Mbeya ni tatizo sana hawa tanesco

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Yaan hapa ndo tatizo kubwa Sana Mimi nasubili asbh ifiki niende kwa mkurugenzi wao tu maana siku ya tatu Sina umeme na taarifa nimetoa nawao ndo chanzo Cha Mimi kukosa umeme maan walikuwa wanafunga umeme kwa jirani sijui wamefanyaje kwangu hauwaki lkn wapo kimya tu yaan TANESCO wapuuziaji kweli wa mambo
 
Tatizo ni nini eneo gani wilaya namba ta simu na namba ya taarifa tafadhali
 
Tanesco ni full vituko. Hivi huwa mnamaana gani kulete vifaa kama nguzo na kuzisimika lakini kuunganisha nyaya inachukua miezi sita Na kuendelea? Yaani kata yetu ya mwahuli kisesa kuunganisha waya imekua shida. Daahhh kwa kweli nchi yetu Safari bado tunayo. Kuwekewa umeme hadi tuwasiliane na waziri kweli? Au kuna njama ya kumuujumu rais watu waone hafanyi kazi. TANESCO KISESA MWANZA tunaomba mtuunganishie umeme acheni kumuujumu waziri na rais
 
Tafadhali onyesha namba ya simu kwa ufatiliaji na mrejesho
 
Namba ya simu yangu au ya wakaazi wote wa mwahuli kisesa? Au ya wafanyakazi wa tanesco? Nyie tunawaomba kwa roho nzuri mtuletee umeme. Nguzo mshaweka na ni muda sasa. Tatizo liko wapi kuunganisha tu waya?
 
Ya wewe mtoa taarifa
 
Back
Top Bottom