Pole, maana umeandika kama unakimbilia kumpokea lisuMgombea mwingine ameropoka ya kuropoka ametoa ubaguzi waziwazi hajaulizwa wala kushauriwa Ku acha kusa ndio aluowateua hao wala bure kodi zetu wanajiita NEC ....na Kamishna wao kibao tuuu nyamvafuuuui
Sidhani Kama Ni mwandiko wa mzungu, hawezi kuwa na grammar mbovu hivi
Hili jamaa ongo Sana, lilisema limetumiwa barua ya uchumba haliendi, kumbe limemtuma kibatala, likasema lina hafla na balozi wa umoja wa ulaya kumbe linakikao na millard Ayo, likatudanganya eti halitaenda kwa Mambo Sasa kumbe mbowe kaomba msamaha kalia ka mtoto mdogo, nyambafuKatibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
eti chupi!!, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nahisi umejaza chupi huelewi kitu
Ndo Kama lisu. Amefungua darasa la sheria badala ya sera.Kikwetu mwanamama akiweka weka rangi nyekundu, tunajua tu yupo zile safari za kiutu uzima za anga la mbali! Akiwa huko, hata akiongea chochote tunajua ni madhila ya safari tu, akimaliza maisha yanaendaje!
Maana yake wameelewa kosaHahahahahahahah Eti hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya Taifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
VP IGP sirro na ule mkwara wake, sikuamini walivyochuchumaa kwa aibu.Aacha Lisu Tundu!!Huyu ndio anae mharibia Lisu,
Yani sasa hivi Lisu anaonekana ni kibaraka tu
Kumbe kulikuwa na wawakilishi feki, chama hakikushirishwa mchakato haramuKatibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Sisi wenyewe tunaoandikiwa hatujui vizuri kwahiyo inatosha, yaan kwa maana nyingine mwalimu anayesahisha mtihani naye hajui majibu yake vizuri.Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama english language grammar yake haiko vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Hakuna aliye mshitakiMgombea mwingine ameropoka ya kuropoka ametoa ubaguzi waziwazi hajaulizwa wala kushauriwa Ku acha kusa ndio aluowateua hao wala bure kodi zetu wanajiita NEC ....na Kamishna wao kibao tuuu nyamvafuuuui
Hili siyo swala la taaluma, ni kitu rahisi tu, kwamba huo ujumbe grammar yake haijakaa sawa sasa kama hauoni hiyo siyo kazi yangu kukufundisha labda ni wewe ndiye uliyemuandikia huyo loya na yeye hakujisumbua kusoma akaposti tu, lkn hauwezi kuwa ujumbe ulioandikwa na loya ambaye ni native speaker wa english language, ...
Kesho TL kampeni zinaendelea. Endeleeni na kamati yenu ya maadili tuonane Oct 28Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Unaniulizaje mimi si waulize tume?Ilimwandikia barua nani sasa Mbowe au?
Kutolewa kwenye kampeni na kupigwa risasi kipi kikubwa zaidi?Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,
Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Kwa nini hawakumtumia Dr. Maduhu?Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Huyo jamaa ndio anatetea ushoga duniani. Anatafuta nini bongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496