Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Huyu ndio anae mharibia Lisu,
Yani sasa hivi Lisu anaonekana ni kibaraka tu
Ndio watamwamini mwanaharakati huru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio anae mharibia Lisu,
Yani sasa hivi Lisu anaonekana ni kibaraka tu
Lisu amepatikana bwashee!Kavishe ni mwepesi sana. Subiri Lissu awachezeshe ngoma. Lissu anawataftia gogoro zito la kidiplomasia kama hamna habari....this time mmekalia kuti kavu. Lissu Lissu Lissu dawa ya utawala mbaya wa magufuli
Huyo dk kavishe anashikiwa akili na mahera na wajinga wenzake,arudi rombo akanywe virobaKatibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Tumekusikia mama samiaLisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,
Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Tanker la mafuta tu siku hizi likianguka mtaa wote unahama!Acha ujinga hakuna watanzania wenye ujasiri wa kupambana na mtutu bado hawajazaliwa
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwani amsterdam ni wapi?haya kachukue jezi ya yanga si ina atlas uangalie ramani ya duniaHuyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama english language grammar yake haiko vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!Bila wazungu ni hakuna miradi ya maendeleo Tanzania kama vile miradi ya maji,umeme,shule,afya,barabara,etc
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
kwani unataka tuchomoe kabla hatujamaliza endelea kukata unoUlizozizoea wewe na pimbi wenzako. Safari hii hamchomoki.
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
fala huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
Sidhani Kama Ni mwandiko wa mzungu, hawezi kuwa na grammar mbovu hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496