Anaposema NEC believes Lissu will win. Ina maana NeC inapiga ramli kujua maamuzi ya kila mpiga kura?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
Huyu pimbi hajui tu ni jinsi gani kwa yeye kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu inavomuharibia lissu wake. Hivi kwa hali hii kwanini tusiamini lissu kaletwa na mzungu kugombea kwa maslahi ya mzungu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
Eleza makosa yake kama kweli wewe mjuzi wa lugha.Kingereza kimekosewa
Hapo sio kweli.Ukikifahamu kiingereza kwa uzuri hutashindwa kusikiliza na kuelewa anachoongea mzungu awe mmarekani au mwingereza na wazungu wengine.
Kwenye kiingereza ukifahamu hiyo grammar kama anavyosema mmoja wetu hapo juu basi wewe utakuwa wakitafuna tu.
Cha msingi ni ule mfumo wake wa kanuni kwamba wafahamu kuunda maneno, sentesi na kauli kwa kutumia lugha yako ya asili.
mmmm taasisi zetu mabingwa wa kujitukanisha,mmm labda kesho zitakuja kuwa TAASISIHuyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?
Yani anafikia hatua ya kutukana taasisi za nchi yetu kisa Lisu?
Ana maslahi gani huyu na Lisu wake?