Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba ( 7 )
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Huyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?
Mimi nashangaa mkuu, huyu jamaa kaacha kila kitu anampambania Lisu tuAmeweka reheni kitu gani huko Ubelgiji?. Nchi, madini, wanyama. Maana beberu hawaaminiki hawa, wala hawanaga free lunch kabisa.
Atolewe asitolewe hawezi kushinda. Tanzania ni zaidi ya Lissu na wenzake hao wabelgiji.Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,
Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Kivipi?Tume imekuwa mahakama?
Au kipaji hiki cha upumbavu kipo Tz tu
Tundu Lisu nyaghamba. Huyu ni kiboko yenu wanafiki nyinyiKatibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Za kutunga hizo. Tundu Lissu anaendelea na kampeni kwa sababu uamuzi yao haumuhusu.Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba ( 7 )
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu na beberu wake Amsterdam wana kazi sanaAtolewe asitolewe hawezi kushinda. Tanzania ni zaidi ya Lissu na wenzake hao wabelgiji.
Pimbi ni wewe na huyo mnaemuabudu.Ulizozizoea wewe na pimbi wenzako. Safari hii hamchomoki.
Ask Ass Robert Amsterdam that NEC suspension is invalid under which law? By the way Robert is not registered to exercise his legal duties in Tanzania, therefore what is commenting is just rubbish!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
Tume haijamwita Tundu Lissu acha upumbavu wenu.Kivipi?
Kwani Lisu aliitwa mahakani au akiitwa na tume na ndio inayotoa adhabu?
Unamaanisha bob na wenzake ndo wanao m fund lissu.Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!Bila wazungu ni hakuna miradi ya maendeleo Tanzania kama vile miradi ya maji,umeme,shule,afya,barabara,etc
Huyo Robert ni takataka tu![emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu na beberu wake Amsterdam wana kazi sana
JumapiliTL yeye si bingwa, aingie kwenye kampeni chacha aone cha moto.
Anaabudiwa Mwenyezi Mungu peke yake. Mkishindwa hoja pimbi mnafahamu mnakokimbilia, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeePimbi ni wewe na huyo mnaemuabudu.
Sawa basi amepewa adhabu nenda kalalamike kwa beberu Robert Amsterdam!Tume haijamwita Tundu Lissu acha upumbavu wenu.
Unaongea nini wewe?Yaani mwanasheria uchaguzi unamuhusu nini?!Hakuna wakati ambao sheria pamoja na haki za binadamu huwa zinavunjwa kama wakati wa uchaguziHuyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?
Yani anafikia hatua ya kutukana taasisi za nchi yetu kisa Lisu?
Ana maslahi gani huyu na Lisu wake?