Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba ( 7 )

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Hizi ndo zile propaganda
 
Ameweka reheni kitu gani huko Ubelgiji?. Nchi, madini, wanyama. Maana beberu hawaaminiki hawa, wala hawanaga free lunch kabisa.
Mimi nashangaa mkuu, huyu jamaa kaacha kila kitu anampambania Lisu tu
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lisu nyaghamba. Huyu ni kiboko yenu wanafiki nyinyi
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba ( 7 )

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Za kutunga hizo. Tundu Lissu anaendelea na kampeni kwa sababu uamuzi yao haumuhusu.
 
Atolewe asitolewe hawezi kushinda. Tanzania ni zaidi ya Lissu na wenzake hao wabelgiji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu na beberu wake Amsterdam wana kazi sana
 
Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!Bila wazungu ni hakuna miradi ya maendeleo Tanzania kama vile miradi ya maji,umeme,shule,afya,barabara,etc
Unamaanisha bob na wenzake ndo wanao m fund lissu.
 
Huyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?

Yani anafikia hatua ya kutukana taasisi za nchi yetu kisa Lisu?

Ana maslahi gani huyu na Lisu wake?
Unaongea nini wewe?Yaani mwanasheria uchaguzi unamuhusu nini?!Hakuna wakati ambao sheria pamoja na haki za binadamu huwa zinavunjwa kama wakati wa uchaguzi
 
Hahah mtuamini tutatenda hakiiiiiiiiiiii.
Screenshot_2020-09-28-13-03-17-1.jpg
 
Back
Top Bottom