Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama english language grammar yake haiko vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Pumbavu yaani we umeshindwa kumfundisha kipara hata kimombo Cha kuombea maji uje kwa huyu mmarekani shenzi kabisa [emoji1]
 
Mwambie Lisu wako aache mihemuko na afuate taratibu hatasumbuliwa na kusababisha hayo unayofikiria yatatokea,

Mbona Zitto anazunguka huku na huko umeona amesumbuliwa? Au Seif? Au Lipumba?

Lisu hawezi kumaliza kuongea bila kutaja Magu tena kw kejeli yani hiyo imekuwa ni kama dawa kwake.

Mwambie apige kampeni kistaarabu
 
Ask Ass Robert Amsterdam that NEC suspension is invalid under which law? By the way Robert is not registered to exercise his legal duties in Tanzania, therefore what is commenting is just rubbish!!
Hichi kiingereza Cha wapi aise?hivi nyie kijani wote kinawapiga chenga? [emoji1]
 
Huyu ndio anae mharibia Lisu,

Yani sasa hivi Lisu anaonekana ni kibaraka tu
Na yule anayetumia police, nec na TISS ni kibaraka wa nani? Au matumizi ya vyombo vya umma kwa manufaa ya watu wachache ndo uzalendo?
 
Unaenda mbali, wakinyimwa ARV mwezi hapa, tutashangaza dunia kwa utitiri wa misiba. Usipeleke kwenye hiyo miradi
 


Kwa hiyo kwako unaona kila kitu kipo sawa grammar iliyotumika hapo?
 
Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama english language grammar yake haiko vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?

He is a New Yorker mate.
 
Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,

Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Wamtoe ndio watanzania wataonyesha rangi zao vizuri. Muda wa kuwaogopa polisi ulishapita, haki itendeke na siyo NEC kubeba watu mgongoni.
 
Huyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?

Yani anafikia hatua ya kutukana taasisi za nchi yetu kisa Lisu?

Ana maslahi gani huyu na Lisu wake?

Huyu dawa yake iko jikoni tayari yatengenezwa.

Atapewa dawa ileile alopewa kule Moscow.
 
Huyo Dr Kavishe ni bogus sana, uchaguzi uliopita alihojiwa na BBC English Service, kiukweli ni mtupu sana kichwani.
 
Kwa hiyo kwako unaona kila kitu kipo sawa grammar iliyotumika hapo?
Mkuu, kwa kukusaidia tu kuna uandishi (au mpangilio wa maneno) wa kwenye vitabu vya kitaaluma, articles, magazeti, vitabu vya stori n.k. Na kila sehemu waweza kuta mpangilio wa maneno tofauti na uliozoea ktk sehemu nyingine. Lakini kutokuujua kwako hakufanyi kuwa huo mpangilio mgeni kwako sio sahihi.

Jijengee mazoea ya kutowashambulia watu ktk lugha ya kiingereza. Hii lugha ina wenyewe. Na yawezekana kabisa huyo Robert Amsterdam akikuzungumzisha hicho kiingereza usielewe kabisaa anachoongea kutokana na udhaifu wetu waTz ktk lugha hiyo ya malkia.
 


Unaelewa maana ya grammar kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…