Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama english language grammar yake haiko vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Pumbavu yaani we umeshindwa kumfundisha kipara hata kimombo Cha kuombea maji uje kwa huyu mmarekani shenzi kabisa [emoji1]
 
Sawa mkuu tz kwanza vyama badae, busara kwanza ,maana twajua sio wote wamfuatao mgombea wa ccm ni wanachama au wanamapenzi nae na sio wote wamfatao mgombea wa chadema Wana mapenzi nae so vipi hizi group mbili zikikutana barabarani ,si mtaokota mizoga ya kutosha ,why tufike uko,why tuwape vyombo vya ulinzi kazi ambayo yaweza epukika why ? Nipe majibu
Mwambie Lisu wako aache mihemuko na afuate taratibu hatasumbuliwa na kusababisha hayo unayofikiria yatatokea,

Mbona Zitto anazunguka huku na huko umeona amesumbuliwa? Au Seif? Au Lipumba?

Lisu hawezi kumaliza kuongea bila kutaja Magu tena kw kejeli yani hiyo imekuwa ni kama dawa kwake.

Mwambie apige kampeni kistaarabu
 
Ask Ass Robert Amsterdam that NEC suspension is invalid under which law? By the way Robert is not registered to exercise his legal duties in Tanzania, therefore what is commenting is just rubbish!!
Hichi kiingereza Cha wapi aise?hivi nyie kijani wote kinawapiga chenga? [emoji1]
 
Huyu ndio anae mharibia Lisu,

Yani sasa hivi Lisu anaonekana ni kibaraka tu
Na yule anayetumia police, nec na TISS ni kibaraka wa nani? Au matumizi ya vyombo vya umma kwa manufaa ya watu wachache ndo uzalendo?
 
Unaenda mbali, wakinyimwa ARV mwezi hapa, tutashangaza dunia kwa utitiri wa misiba. Usipeleke kwenye hiyo miradi
Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!Bila wazungu ni hakuna miradi ya maendeleo Tanzania kama vile miradi ya maji,umeme,shule,afya,barabara,etc
 
Nimekuelewa mkuu, huna uwezo wa kuonesha makosa yake unayodai hapa na kuandika usahihi wake. Kitu kikubwa ni kuwa wahofia utaonekana wewe ndiye hujui.
0
Nakumbuka uliwahi mtoa kasoro Paula ktk sentensi yake fulani ya Kiingereza na ukadai hajui lolote...na tahamaki ktk uchambuzi kutegemea kamusi za lugha husika na pia native speakers, tukaona Paula Paul alikuwa sahihi 9ktk ile sentensi) na wewe mzee mzima ulikuwa chaka.


Kwa hiyo kwako unaona kila kitu kipo sawa grammar iliyotumika hapo?
 
Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,

Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Wamtoe ndio watanzania wataonyesha rangi zao vizuri. Muda wa kuwaogopa polisi ulishapita, haki itendeke na siyo NEC kubeba watu mgongoni.
 
Huyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?

Yani anafikia hatua ya kutukana taasisi za nchi yetu kisa Lisu?

Ana maslahi gani huyu na Lisu wake?

Huyu dawa yake iko jikoni tayari yatengenezwa.

Atapewa dawa ileile alopewa kule Moscow.
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Dr Kavishe ni bogus sana, uchaguzi uliopita alihojiwa na BBC English Service, kiukweli ni mtupu sana kichwani.
 
Kwa hiyo kwako unaona kila kitu kipo sawa grammar iliyotumika hapo?
Mkuu, kwa kukusaidia tu kuna uandishi (au mpangilio wa maneno) wa kwenye vitabu vya kitaaluma, articles, magazeti, vitabu vya stori n.k. Na kila sehemu waweza kuta mpangilio wa maneno tofauti na uliozoea ktk sehemu nyingine. Lakini kutokuujua kwako hakufanyi kuwa huo mpangilio mgeni kwako sio sahihi.

Jijengee mazoea ya kutowashambulia watu ktk lugha ya kiingereza. Hii lugha ina wenyewe. Na yawezekana kabisa huyo Robert Amsterdam akikuzungumzisha hicho kiingereza usielewe kabisaa anachoongea kutokana na udhaifu wetu waTz ktk lugha hiyo ya malkia.
 
Mkuu, kwa kukusaidia tu kuna uandishi (au mpangilio wa maneno) wa kwenye vitabu vya kitaaluma, research articles, magazeti, vitabu vya stori n.k. Na kila sehemu waweza kuta mpangilio wa maneno tofauti na uliozoea ktk sehemu nyingine. Lakini kutokuujua kwako hakufanyi kuwa huo mpangilio mgeni kwako sio sahihi.

Kuwa na kawaida ya kutowashambulia watu ktk lugha ya kiingereza. Hii lugha ina wenyewe. Na yawezekana kabisa huyo Robert Amsterdam akikuzungumzisha hicho kiingereza usielewe kabisaa anachoongea kutokana na udhaifu wetu waTz ktk lugha hiyo ya malkia.


Unaelewa maana ya grammar kwanza?
 
Back
Top Bottom