Dkt. Kigwangalla amshukia Profesa Mkenda Bungeni, amtuhumu kwa kulidanganya Bunge. Amtaka ajiuzulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bunge ni moto

Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau

Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii

Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi Dr Kigwangalla na Prof Mkenda wana mgogoro tangu wizara ya Maliasili na Utalii Kigwangalla akiwa Waziri na Mkenda akiwa Katibu mkuu

Dr Kigwangala azuiwa na Spika Tulia kuendelea kuongea na kuamriwa kukaa chini na sasa ameitwa mh Sophia Mwakagenda wa Chadema achangie
 
Kwani hapo si ndiyo sehemu sahihi ya kuongelea mambo ya uwongo? Na ndani humo ndiyo pahala pekee Nchini penye Kinga inayomlinda mlamba asali pale anapoamua kuongea mambo ya uwongo, na ndiyo maana kipindi kile walitu zuia tusiwaangalie wakati wanaongea uongo, maana kipindi hicho wali kuwa wanaongea yale ma uongo makubwa makubwa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hamisi angeanza kutumia majina yake halisi kwanza kama anataka tumskilize
 
Namheshimu na kumkubali sana kigwangalla, Ila anachofanya kwa mkenda ni utoto.

Niliona post zake twitter, nikabaki nashangaa tu. Kutofautiana na mkenda walipokua wizarani sio sababu ya kila siku kumshambulia
Kigwangala ni empty set hapo kichwani.
 
Bunge ni moto

Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau

Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii

Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi Dr Kigwangalla na Prof Mkenda wana mgogoro tangu wizara ya Maliasili na Utalii Kigwangalla akiwa Waziri na Mkenda akiwa Katibu mkuu

Dr Kigwangala azuiwa na Spika Tulia kuendelea kuongea na kuamriwa kukaa chini na sasa ameitwa mh Sophia Mwakagenda wa Chadema achangie
hawa ndo wasomi wa tz hata maadili hawana.ugonvi wa huko walikotoka wanauleta bungeni je na wale ambao hawana platform hizo inakuwaje.kigwangalla hata yeye hana credibility ya kumwongelea mwenzake kwa kuwa naye si msafi ndo maana alitumbuliwa kwenye wizara aliyekuwa anaihudumu.Tano kwa tulia kwa kumzuia asiongelee huo upuuzi bungeni na aupeleke huko huko mitandaoni.
 
Kwani hapo si ndiyo sehemu sahihi ya kuongelea mambo ya uwongo? Na ndani humo ndiyo pahala pekee Nchini penye Kinga inayomlinda mlamba asali pale anapoamua kuongea mambo ya uwongo, na ndiyo maana kipindi kile walitu zuia tusiwaangalie wakati wanaongea uongo, maana kipindi hicho wali kuwa wanaongea yale ma uongo makubwa makubwa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
waliowazuia si pamoja na huyu mpuuzi?kwani yeye unamweka kundi lipi?si wale wale wanaosail kwenye boti moja?
 
Namheshimu na kumkubali sana kigwangalla, Ila anachofanya kwa mkenda ni utoto.

Niliona post zake twitter, nikabaki nashangaa tu. Kutofautiana na mkenda walipokua wizarani sio sababu ya kila siku kumshambulia
Kama sisi tunavyokushangaa jinsi unavyowadharau na kuwavunjia heshima walimu wetu waliotufundisha na kutufikisha hapa tulipo!!!!!! Mwenyewe unajiona bonge la mjanja!!!!!!!!!
 
Kigwangala nimtu wa hovyo sana!
Huyu mty akiwahi kuomba msaada wa pikipiki kwa MO alipokosa alimsakama sana sana!
Ni mtu wa ajabu na mbea kama mwanamke wa tandale!
 
Kigwa huwa ana visasi...amesahau yeye alivyo kula hela ya kuchongesha sanamu la hovyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bunge ni moto

Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau

Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii

Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi Dr Kigwangalla na Prof Mkenda wana mgogoro tangu wizara ya Maliasili na Utalii Kigwangalla akiwa Waziri na Mkenda akiwa Katibu mkuu

Dr Kigwangala azuiwa na Spika Tulia kuendelea kuongea na kuamriwa kukaa chini na sasa ameitwa mh Sophia Mwakagenda wa Chadema achangie
Weka video
 
Back
Top Bottom