Dkt. Kigwangalla amshukia Profesa Mkenda Bungeni, amtuhumu kwa kulidanganya Bunge. Amtaka ajiuzulu

Dkt. Kigwangalla amshukia Profesa Mkenda Bungeni, amtuhumu kwa kulidanganya Bunge. Amtaka ajiuzulu

Bro Kigwa sijui kwa nini ameamua kuwa mtu wa hovyo!
 
Aisee hyl hoja nilikuwa naifatilia Kisha nipandeshe uzi ghafla San tbc wakajiunga bukoba
 
hawa ndo wasomi wa tz hata maadili hawana.ugonvi wa huko walikotoka wanauleta bungeni je na wale ambao hawana platform hizo inakuwaje.kigwangalla hata yeye hana credibility ya kumwongelea mwenzake kwa kuwa naye si msafi ndo maana alitumbuliwa kwenye wizara aliyekuwa anaihudumu.Tano kwa tulia kwa kumzuia asiongelee huo upuuzi bungeni na aupeleke huko huko mitandaoni.
Lkn Mbona wote ni wale wale ma-bogus? hivi Mkenda nae u-profesa unamsaidia nini wakati alitumia influence yake kama waziri wa elimu kumsaidia mkewe Beatrice akapewa u-dean wa 'School of Economics' hapa Udsm,wakati alishindwa kwenye ushindani alikuwa mtu wa 4,wa kwanza mpaka wa 3 ambao wako competent wakaachwa kwa sababu ya kukosa Godfarther(s),hatimaye akapachikwa mkewe Beatrice,kimsingi hata Mkenda hana integrity yeyote.
 
Back
Top Bottom