johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha......!Kila mtu anajua ana personal interest! si walikuwa wizara moja enzi zake? bora wenzake bungeni wamemshushua
Tangu anyimwe Pikipiki na Mo huyu Kigwangalla amevurugika sana!Namheshimu na kumkubali sana kigwangalla, Ila anachofanya kwa mkenda ni utoto.
Niliona post zake twitter, nikabaki nashangaa tu. Kutofautiana na mkenda walipokua wizarani sio sababu ya kila siku kumshambulia
Hamis Andrew KigwangallaHamisi angeanza kutumia majina yake halisi kwanza kama anataka tumskilize
Kigwangala ni empty set hapo kichwani.Namheshimu na kumkubali sana kigwangalla, Ila anachofanya kwa mkenda ni utoto.
Niliona post zake twitter, nikabaki nashangaa tu. Kutofautiana na mkenda walipokua wizarani sio sababu ya kila siku kumshambulia
hawa ndo wasomi wa tz hata maadili hawana.ugonvi wa huko walikotoka wanauleta bungeni je na wale ambao hawana platform hizo inakuwaje.kigwangalla hata yeye hana credibility ya kumwongelea mwenzake kwa kuwa naye si msafi ndo maana alitumbuliwa kwenye wizara aliyekuwa anaihudumu.Tano kwa tulia kwa kumzuia asiongelee huo upuuzi bungeni na aupeleke huko huko mitandaoni.Bunge ni moto
Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau
Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii
Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi Dr Kigwangalla na Prof Mkenda wana mgogoro tangu wizara ya Maliasili na Utalii Kigwangalla akiwa Waziri na Mkenda akiwa Katibu mkuu
Dr Kigwangala azuiwa na Spika Tulia kuendelea kuongea na kuamriwa kukaa chini na sasa ameitwa mh Sophia Mwakagenda wa Chadema achangie
Acha kukariri Kiingereza!Kila mtu anajua ana personal interest! si walikuwa wizara moja enzi zake? bora wenzake bungeni wamemshushua
waliowazuia si pamoja na huyu mpuuzi?kwani yeye unamweka kundi lipi?si wale wale wanaosail kwenye boti moja?Kwani hapo si ndiyo sehemu sahihi ya kuongelea mambo ya uwongo? Na ndani humo ndiyo pahala pekee Nchini penye Kinga inayomlinda mlamba asali pale anapoamua kuongea mambo ya uwongo, na ndiyo maana kipindi kile walitu zuia tusiwaangalie wakati wanaongea uongo, maana kipindi hicho wali kuwa wanaongea yale ma uongo makubwa makubwa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kama sisi tunavyokushangaa jinsi unavyowadharau na kuwavunjia heshima walimu wetu waliotufundisha na kutufikisha hapa tulipo!!!!!! Mwenyewe unajiona bonge la mjanja!!!!!!!!!Namheshimu na kumkubali sana kigwangalla, Ila anachofanya kwa mkenda ni utoto.
Niliona post zake twitter, nikabaki nashangaa tu. Kutofautiana na mkenda walipokua wizarani sio sababu ya kila siku kumshambulia
MswahiliKigwa huwa ana visasi...amesahau yeye alivyo kula hela ya kuchongesha sanamu la hovyo.
#MaendeleoHayanaChama
Weka videoBunge ni moto