Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Hasira za kukosa uwaziri hizo. Anatafuta kila nafasi awekwe mezani na yeye kabla mama hajamaliza kupanga safu yake vizuri. Huyu jamaa bwana huwa akili zake anazijua mwenyewe!! Hapo full wivu kwa waliokwisha teuliwa.

Na anavyopenda mitandao sasa, JPM kaondoka ndio atakeshea huko huko. Maana aliyepiga stop hayupo. Kama mshamba fulani hivi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom