Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Hakika hiki kipindi cha teuzi tutasikia mengi tu, ewe muumba tujaalie umri afya na amani ili tushuhudie teuzi za mh mama Samia.
 
Huyu ni mtu mbaya sana. Anaenda na biti. Ogopa sana mtu wa dizaini hii. Yawezekana kaamua kuwa mkweli ila upepo ukichenji hujui atakua timu yako au anatoboa boti mlilopanda...
Hahahahah ndio maana alistukiwa akapigwa chini
 

Pamoja na yote heri nusu Shari. Heko Daktari Kigwangala kuukumbuka wajibu wako kwa jamii.

Pole pole akina johnthebaptist, mjingamimi na wenzao hapa chini akili taratibu itawarudia:

IMG_20210218_174254_207.jpg


IMG_20210329_062118_700.jpg


Subiria yavuta heri.
 
Anagombania Teuzi kama teuz mwaisa😀😀😀
 
Back
Top Bottom