Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Hakika simjui kabisa mtu huyuHata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mgalilaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika simjui kabisa mtu huyuHata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mgalilaya.
Amishakula kandarasi nono huyu.View attachment 1742973
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo...
Kigwa, yuko timamu, tatizo la hii nchi ni mfumo, wateule wanacheza mziki wa aliyewateua, wanaangalia falisafa ya namba moja anataka nini wao wanapita mule kulinda ugali wao. Kwa hiyo mabadiliko ya utawala wa awamu ya sita yanamfanya Dr.Kigwa awe huru na kusema kile kilichochkweli moyoni mwake kama medical scientist.
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
yaaani acha tu, ila Mungu anatuonesha uhalisia wao ili tuwaepuke kuwapa uongozi aina hii ya watu wachumia tumboHii nchi ina mambo aisee
lakini alipaswa kukaa kimya kulinda heshima yake, kumbuka kuna kitu kinaitwa kuwajibika kwa pamoja.Kwa hiyo tunaanza kukubaliana kwamba kulikuwa na UDIKTETA kwenye hii nchi, kwamba ilikuwa ukisema yasiyompendeza MTAKATIFU adhabu inakuandama, Lissu alikuwa sahihi.
We ewe ndio umegundua tatizo lA kingwala anatafuta kusikika na mama SSH anafikiri atakumbukwa awekwe wizara ya afyaKigwangala amechanganyikiwa baada ya kukosa tena uwaziri
Asingeingia kwenye hyo mashineMimi naona tofauti kidogo..kigwangala Ni jasiri..Ni mkweli..aliona Ni ngumu kumkosoa yule jamaa kwa Sera mbovu.. lakini kwasasa kaona si vizuri kuendelea kukumbatia ujinga..jamaa Ni mkweli sio mnafiki..apongezwe
Hana lolote, angekuwa bado ni wa waziri kipindi zinawekwa lazima angekwenda kufukizwa, hebu atulie tuna mengi ya kufanya
Utashangaa!Lakini tuacheni utani wakuu, hivi dunia hii kuna watu wanafiki kama Watz.?
Alinyimwa mkopo wa pikipiki 20 akamaindi balaa [emoji16][emoji16][emoji16]Dawa yake ni Mo tu huyu.
Yule alijiharibia wakati chama kipo kwenye kampeni,yeye yupo busy Twitter kumshambulia Mo DewjiWe ewe ndio umegundua tatizo lA kingwala anatafuta kusikika na mama SSH anafikiri atakumbukwa awekwe wizara ya afya