Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Hapo Muhimbili mmesabibisha watu wafe bure ebu vunjeni hilo dude la kujifukiza kum make zenu nyie mujimbili mbuzi jabisa
 
Huyu Kigwangalla mbona alishaingia kwenye hiyo mashine ya nyungu?

Sijui huyu Kigwangalla ni dini gani maana siyo kwa unafiki huu!!!
Sio unafiki, ni uoga aliokuwa nao mwanzo. Na viongozi wengi walikuwa wanaogopa kuvaa barakoa au kukosoa mbinu za marehemu kulinda matumbo yao.

Sasa kaondoka ndio wanaanza kurudi kwenye Sayansi.
 
Kingwangala mnafiki sana kuliko shetani, huyu huyu alikuwa ameandika insta kuwa the Late JPM anamlilia sana na hakuna kiongozi kama Magu, akataja sifa lukuki ikiwemo alikuja kumuona akiwa mgonjwa, mara alimpa ndege alipofiwa na mtoto wake, leo hata maombolezo hayajaisha kashamgeuka, mnafiki hana tabia za kujificha, unafiki huwa unaonekana wazi wazi.. Hivi ndio inafaa Mama Samia aangalie hawa watu awajue, who is who.. Kifo cha Magu kinawaonyesha wengi sura zao halisi. Kaa mbali na wanafiki
mbona unalichukulia hili personal ndugu? Hamchukii Magufuli, ila anba mtazamo tofauti na namna ya kupambana na ugonjwa wa Corona, sio uadui huo
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk


Aisee 🤔🚶🚶🚶 Maisha haya 🤣 watanzania tunayumbishwa kweli kwel hatujui tufanye lipi. Nyungu ama nn
 
Screenshot_20210404-154415.jpg
 
Hayati alipenda kusifiwa, kutukuzwa na kila wazo lake aliamini ni sahihi. Waliomsujudu wamedumu kwenye utawala.


Nafikiria hats lkikao cha baraza LA mawazr alikuwa anawahutubia tu alichojadiliana na mabeyo, diwani na sirro
 
Kwa siku kadhaa nnaendelea kushuhudia waliokua Wandamizi ktk Serikali ya Magufuli wakitoa statement za kukosoa baadhi ya mamabo aliyoyaamini. Moja wa hao ni Kigwangala lkn enzi hizo aliunga mkono kila kitu, inamaana walikua wakilinda ugali na matumbo yao na sio utumishi. Ilikua kwamba kama hawakubaliani na msimamo wa mzee wajiuzulu lkn balaa waliendelea kuunga mkono na sasa wameonyesha how stupid they areView attachment 1743049View attachment 1743050
Daaaah 😂😂😂
 
 
Hakika binadamu ni wabaya Sana siku zote tenda wema nenda zako usingoje shukrani ,hutoa Mungu
 
Sasa hivi tutashuhudia unafiki wa kila rangi.Mimi nilishasema kwamba'',Viongozi au watendaji walio hudumu kipindi cha Jiwe,kama walifanya makosa yasiyohusiana na Jinai Utekaji watu,mauaji,kudhulumu mali za watu,kupoteza watu n.k wasamehewe''.Hayo mambo walifanya nje ya utashi wao wakishinikizwa na Jiwe.Walifanya ili kulinda matumbo yao na familia zao!
 
Jiwe mwenyewe ndio aliwatengenezea huo unafiki
... uko sahihi! Kama mnafiki mkuu hayupo lazima kundi la wanafiki liyumbe; halijui lielekee kulia au kushoto; liende mbele au lirudi nyuma. Kila mmoja katika kundi lazima aongee lake maana mswaga kundi hayupo tena.
 
Back
Top Bottom