Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

IMG_6716.jpg
 
Kwa siku kadhaa nnaendelea kushuhudia waliokua Wandamizi ktk Serikali ya Magufuli wakitoa statement za kukosoa baadhi ya mamabo aliyoyaamini. Moja wa hao ni Kigwangala lkn enzi hizo aliunga mkono kila kitu, inamaana walikua wakilinda ugali na matumbo yao na sio utumishi. Ilikua kwamba kama hawakubaliani na msimamo wa mzee wajiuzulu lkn balaa waliendelea kuunga mkono na sasa wameonyesha how stupid they areView attachment 1743049View attachment 1743050
Yupo mtu mmoja anasema sarakasi hazipigwi huku mpuga sarakasi akiwa amevalia taulo.
 
Jiwe anavuna matunda yake, ukitaka kusifiwa lazima utengeneze genge la wanafiki
 
Nani angeenda kinyume na mwendazake kama asingetangulizwa? Jamaa alikuwa TYRANT yule.

Na wale waliokuwa wanamtetea huku mitandaoni sasa nyuso zinawashuka kwa haya tunayoyaona.

Endeleeni kufichua mauozo yote tusafishe nchi ilinuka sana uozo.
 
Kwa siku kadhaa nnaendelea kushuhudia waliokua Wandamizi ktk Serikali ya Magufuli wakitoa statement za kukosoa baadhi ya mamabo aliyoyaamini. Moja wa hao ni Kigwangala lkn enzi hizo aliunga mkono kila kitu, inamaana walikua wakilinda ugali na matumbo yao na sio utumishi. Ilikua kwamba kama hawakubaliani na msimamo wa mzee wajiuzulu lkn balaa waliendelea kuunga mkono na sasa wameonyesha how stupid they areView attachment 1743049View attachment 1743050
wanatafuta pakula hao
 
kokomoka baba bado tuna mengi ya kusema tunasubiri muanze anze ili upepo kama utaruhusu vizuri na sisi tutoe madukuduku yetu ata kabla ya siku 21 za polepole kumalizika.
 
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.

Watanzania tunataka SGR , BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.

Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.
Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi ( Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza , hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote ,ukifanya hivyo watanzania hatutakuelewa
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo...
Hakika unaweza kutabiri ubovu wa akili ya mtu kwa kuangalia usoni. Naangalia pua na lips za huyu Kingwangala naona kama tayari aliumbwa na ujinga wa aina fulani. Yawezekana mazingira yamesaidia sana kufanikiwa baadhi ya mambo lakini nature inarudisha ujinga huo kila nafasi inapopatikana.
 
Mimi naona tofauti kidogo..kigwangala Ni jasiri..Ni mkweli..aliona Ni ngumu kumkosoa yule jamaa kwa Sera mbovu.. lakini kwasasa kaona si vizuri kuendelea kukumbatia ujinga..jamaa Ni mkweli sio mnafiki..apongezwe
Hana ujasiri wala ukweli.. Ni mchumia tumbo.. Yote anayofanya ni kwa maslahi ya tumbo lake..
IMG-20210404-WA0071.jpg
 
Back
Top Bottom