Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Na hawa ndio viongozi wenu nyie WANYONGE.
Na hata siku 21 hatujamaliza za maombolezo🤣🤣🤣
 
Maccm mnanikosha aiseee. Ile mashine ndo ilichangia kwa ukubwa msiba wa Jiwe maana alivyoingia humo kesho yake ikawa mahututi na bai bai.

Weitaaaaa ongeza chupaaaaa
Itakuwa alilazimisha Bora angekunywa BUPIJI. Mimi haya matakataka sitakaa niyanywe.
 
Mimi naona tofauti kidogo..kigwangala Ni jasiri..Ni mkweli..aliona Ni ngumu kumkosoa yule jamaa kwa Sera mbovu.. lakini kwasasa kaona si vizuri kuendelea kukumbatia ujinga..jamaa Ni mkweli sio mnafiki..apongezwe
 
Msimshambulie Hamis. Alichofanya ni kujitoa muhanga tu na "kumfunga panya kengele" maana members wengi kwenye cabinet wana mawazo kama yake ilia hawana guts za kutoka na kusema. Hamis kwa kuwa sasa sio Waziri, he dont have much to lose, atleast for now
Panya yupi unaongelea aliye kufa au aliye Hai
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk

Sasa naelewa kwa nini ulipigwa Buyu. Nchi za Ulaya zinasitisha chanjo sababu ni hatari mwilini, maboya yanataka chanjo ambayo haizui mutated corona? Hii chanjo ni biashara hata viongozi wa Ulaya wanafeki kupigwa, UK royal family refused it. use brain.
 
Wanafiki ni wengi na bado wanakuja.
Sema wilikuwa na jinamizi kipindi kile. Ndoto za kutisha, hata mashujaa walitahayari.. panya wataendelea kutoka shimoni
ahahaaah kweli kabisa
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk

Ningemtukana tusi kubwa, lakini naogopa kupigwa burn. Niishie kusema huyu mpuuz anaongoza kwa unafiki na uzandiki.
View attachment 1743043
 
Aliyewashikia akili hayupo sasa akili zimeanza kurejea
 
Hivi huyu jamaa ilikuwaje akapa uwaziri wakati huo?! Hivi zile pikipiki za Mo ameshalipa?
 
Back
Top Bottom