barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nina mashaka pia na mtazamo wa wqziri wa afya....Lakini tuacheni utani wakuu, hivi dunia hii kuna watu wanafiki kama Watz.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mashaka pia na mtazamo wa wqziri wa afya....Lakini tuacheni utani wakuu, hivi dunia hii kuna watu wanafiki kama Watz.?
Politics is a science too..... Hivi strategy, negotiatons, protocol, Diplomacy ni mtu yeyote tu anaweza?Mfano wa ualimu hauwezi kuwa applicable kwenye mjadala huu,
Ualimu ni taaluma ila siasa sio taaluma ile ni sanaa tu.
Watu kama hawa inafaa kuchomwa moto kama vibaka tu,maana ni wezi na mataperi wakubwa,pumbavu kabisa......siku zote hakuliona hilo? Halafu kuna mijinga inawaita wazalendoView attachment 1742973
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.
Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.
Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk
Sikiliza: https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2021/04/2732484_AUDIO-2021-04-04-10-44-33.m4a
Ha ha hawa wanoa kipaji cha kudanganya bila kupepesa macho ,bila kufikiria .Tabia ya uongo is second nature.Majaliwa alitudanganya msikiti tena baada ya swala ya ijumaa
Ndio maana bado yupo kimya, tunasema yupo kwenye limboNina mashaka pia na mtazamo wa wqziri wa afya....
Upuuzi mbona hukulisema hilo kipindi cha bwana yuleView attachment 1742973
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.
Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.
Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk
View attachment 1743021
Negotiations iko wide, inategemea mna negotiate katika nini ?? Sio kila negotiation anakwenda aliyesoma political science,Politics is a science too..... Hivi strategy, negotiatons, protocol, Diplomacy ni mtu yeyote tu anaweza?
Usiangalie Tanzania kwa kuwa yeyote tu anateuliwa ukuu wa wilaya au Ubunge basi ndio unachukulia kuwa ni global practice. In fact Vyama vya siasa, Mashirika ya umma, Multinational organs, MNCs, Research institutes,NGOs, n.k ndio sehemu rasmi ya watu wenye profession hii.
Kwahiyo
Kwa nini hakusema kipindi cha magu.View attachment 1742973
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.
Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.
Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk
View attachment 1743021
hakuna, Wtz ni wanafiki wa daraja la kwanza DunianiLakini tuacheni utani wakuu, hivi dunia hii kuna watu wanafiki kama Watz.?
Unafiki wake hautokani na dini Yake, Ana ushetani ndani Yake maana alishirikiana kupinga nyungu kumfurahisha mheshimiwa ili apate uteuzi Sasa kahamia kujikomba kwa mama Samia.Huyu Kigwangalla mbona alishaingia kwenye hiyo mashine ya nyungu?
Sijui huyu Kigwangalla ni dini gani maana siyo kwa unafiki huu!!!
Kwani Hilo la udikteta unahitaji tochi?. Bila mzaha wake kwenye Covid tusingepoteza watu wetu wengi kiasi hiki na bado hatujui hatima yetu.Kwa hiyo tunaanza kukubaliana kwamba kulikuwa na UDIKTETA kwenye hii nchi, kwamba ilikuwa ukisema yasiyompendeza MTAKATIFU adhabu inakuandama, Lissu alikuwa sahihi.
Tangu mwendazake aondokoke naona kapooza hana matukio tenaSasa kazi anayo,tutaona kama ataenda mbele au atarudi nyuma
Mungu alikuepo hata kabla ya magufuli na ataendelea kuwepoMagufuli ametuachia MUNGU.
Tupo salama.