Tatizo unachanganya politics as a discpline/profession ama politics as a career.
Mfano kila mtu anaweza fanya biashara je ina maana waliosomea Business Administration wamepoteza muda?
Kinadharia kabisa ilipaswa vyama vya siasa na mashirika ya umma yaongozwe na watu wenye background ya political science (Public administration & public relation) ili waweze kuongozwa kiprofessional kabisa.
Na ndio maana kuna chuo kikuu hapa TZ kimetoa diploma ya education kwa tutors na lecturers wake sababu imegundua wanaofundisha chuo kikuu hawana basics za UALIMU yaani kasome tu udaktari kisa ana GPA kubwa eti afundishe. Hapo professionalism hamna ila PRACTICE inakuwepo.
So tutenganishe practice na discipline