Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Mfano wa ualimu hauwezi kuwa applicable kwenye mjadala huu,

Ualimu ni taaluma ila siasa sio taaluma ile ni sanaa tu.
Politics is a science too..... Hivi strategy, negotiatons, protocol, Diplomacy ni mtu yeyote tu anaweza?

Usiangalie Tanzania kwa kuwa yeyote tu anateuliwa ukuu wa wilaya au Ubunge basi ndio unachukulia kuwa ni global practice. In fact Vyama vya siasa, Mashirika ya umma, Multinational organs, MNCs, Research institutes,NGOs, n.k ndio sehemu rasmi ya watu wenye profession hii.

Kwahiyo
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk

Sikiliza: https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2021/04/2732484_AUDIO-2021-04-04-10-44-33.m4a
Watu kama hawa inafaa kuchomwa moto kama vibaka tu,maana ni wezi na mataperi wakubwa,pumbavu kabisa......siku zote hakuliona hilo? Halafu kuna mijinga inawaita wazalendo
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk

View attachment 1743021
Upuuzi mbona hukulisema hilo kipindi cha bwana yule
 
jamani kusema kweli kwangu magu atabaki kuwa hero kwa kutuvusha kwenye corona sipati picha tungekua kwenye hali gani kama tusingeshtuka
 
Kingwala ngwala.....kazi inaendelea. Nyosha kidole ...aaaadela
 
Politics is a science too..... Hivi strategy, negotiatons, protocol, Diplomacy ni mtu yeyote tu anaweza?

Usiangalie Tanzania kwa kuwa yeyote tu anateuliwa ukuu wa wilaya au Ubunge basi ndio unachukulia kuwa ni global practice. In fact Vyama vya siasa, Mashirika ya umma, Multinational organs, MNCs, Research institutes,NGOs, n.k ndio sehemu rasmi ya watu wenye profession hii.

Kwahiyo
Negotiations iko wide, inategemea mna negotiate katika nini ?? Sio kila negotiation anakwenda aliyesoma political science,

Kwenye team unaweza kuta wataalam mbali mbali kulingana na mahitaji,
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk

View attachment 1743021
Kwa nini hakusema kipindi cha magu.
Amesahau tupo kwenye maombolezo
 
Mtanzania hasa mtanganyika ndio mtu anaeongoza kwa unafki duniani.
 
Katika afrika mashariki na kati, hakuna watu wanafiki Kama watanzania..
 
Huyu Kigwangalla mbona alishaingia kwenye hiyo mashine ya nyungu?

Sijui huyu Kigwangalla ni dini gani maana siyo kwa unafiki huu!!!
Unafiki wake hautokani na dini Yake, Ana ushetani ndani Yake maana alishirikiana kupinga nyungu kumfurahisha mheshimiwa ili apate uteuzi Sasa kahamia kujikomba kwa mama Samia.
Wako wengi Sana wakiongozwa na kile chama.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo tunaanza kukubaliana kwamba kulikuwa na UDIKTETA kwenye hii nchi, kwamba ilikuwa ukisema yasiyompendeza MTAKATIFU adhabu inakuandama, Lissu alikuwa sahihi.
Kwani Hilo la udikteta unahitaji tochi?. Bila mzaha wake kwenye Covid tusingepoteza watu wetu wengi kiasi hiki na bado hatujui hatima yetu.
 
Back
Top Bottom