Pre GE2025 Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msinikumbushe ya mzee KIFIMBO CHEZA "AGWEE" . Kigwa na wewe anza kususa jimboni kwako kama mfano basii.
 

Kwa hiyo yeye anaitwa Nĝšàźì Dr. Hastings Kamuzu Freeman Δ·Γ²Δ·ΓΉ wa Γ‘zabanga a.k.a kuachia madaraka hadi kifo kikutenganishe.
 

Kwenye hii ajali mwamba alikata. Gogo
 
Tumwite John Mbowe😁
 
Binafsi sioni ulazima wowote as long as wenye chama chao wameamua kubaki na Mbowe kama mwenyekiti wa chama chao.

Ila kwa namna fulan chama kinaharibu sifa ya kujiita chama cha demokrasia.
kwani demokrasia kwa tafsiri yako ni nini? kwani hawaruhusu watu wengine kugombea? mbowe huwa anapita bila kupingwa? nisaidie mkuu maana mimi nimezaliwa 2010
 
Hivi ni kweli kuwa Ccm hamuwezi kuendesha chama chenu wakati mbowe ni mwenyekit? Yaani uenyekiti wa Mbowe Ccm ndiyo wanaumia sana kuliko hata hao Chadema
 

Unaelewa maana ya daktari bingwa? Kigwangala ni daktari bingwa wa magonjwa gani?

Huyo Kigwangala, uelewa ni duni kabisa. Na kama ana uelewa mzuri basi ni mahabiki mkubwa wa ujinga na unafiki. Amefanya argument yake kama mtu mjinga, sawa na wale wajinga wa kudumu.

Angekuwa ni mtu aliyekombolewa na Elimu, asingethubutu kuulinganisha uongozi wa Zito na wa Mbowe. Kwanza muundo wa ACT haupo sawa na wa CHADEMA. ACT ina kiongozi mkuu wa chama na ina mwenyekiti wa chama. CHADEMA haina kiongozi mkuu, bali ina mwenyekiti. ACT ina ukomo wa mtu kuendelea kugombea nafasi za juu za chama, wakati CHADEMA haina kipengere hicho kwenye katiba yao inayozuia kiongozi kuendelea kugombea.

Kama Kigwangala angekuwa na akili, angejua kuwa Ayatollah hapigiwi kura bali anaachiwa uongozi na aliyemtangulia wakati Mbowe mara zote amechaguliwa kwa kupigiwa kura kwa mujibu wa katiba yao. Kabaka wa Uganda, kama walivyo wafalme wote, hakuwahi kupigiwa kura.

Kama Kigwangala, hayajui haya yote, huo udokta alienda kusomea ujinga? Basi atakuwa daktari bingwa wa ujinga. Angekiwa na akili japo kidogo, angalao angeeleza namnna Mbowe alivyokiuka katiba ya CHADEMA kwa kitendo chake cha kuwa kiongozi kwa muda mrefu.

Mnafiki Hamis Bagalile aliyewahi kumtusi Lisu kuwa ni kichaa, leo kwa unafiki mkubwa anamwita eti ni ndugu yake!! Apuuzwe mnafiki mkubwa na mporaji wa haki ya Hamis Kigwangala.

USA wana ukomo wa uongozo, Ujerumani hawana, na hawajapungukiwa chochote kwani ndiyo mfumo waliouchagua.

Kama Kigwangala anautaka umwenyekiti wa CHADEMA, arudishe kadi ya CCM, akachukue ya CHADEMA. Halafu akagombee. Akina Sumaye walijiunga na CHADEMA, na wakaruhusiwa kugombea.
 
Umeandika kwa uchungu sana πŸ˜€
 
Umeandika kwa uchungu sana πŸ˜€
Wafuasi wa Mbowe, wamemwagwa JF kutetea uenyekiti wake hadi kifo kimtenganishe. Kila siku tunawaambia chadema ni kama SACCOS ina wenyewe. Kama sio wa ukoo au kabila lile utaishia kuchungulia kwa mbali. Chama Cha demokrasia kilichoondoa kipengele Cha ukomo wa mwenyekiti kwenye katiba yake. Ndo chama kinachodanganya wananchi kuwa kitaiondoa ccm madarakani. Kiukweli wananchi wameichoka ccm lakini hawaoni alternative.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…