Pre GE2025 Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla

Ahsanteni 😂😂🌟

Kwa hiyo yeye anaitwa Nĝŵàźì Dr. Hastings Kamuzu Freeman ķòķù wa Ñzabanga a.k.a kuachia madaraka hadi kifo kikutenganishe.
 
Vipi suala la fomu moja ya urais ndani ya chama chake hajaligusia?

Fomu moja ndani ya chama dola kongwe inamletea mawazo, wakati ndoto yake ni kuwa rais kupitia CCM
1716210411699.png
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
Screenshot_20240520-160912.png

Kwenye hii ajali mwamba alikata. Gogo
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
Tumwite John Mbowe😁
 
Binafsi sioni ulazima wowote as long as wenye chama chao wameamua kubaki na Mbowe kama mwenyekiti wa chama chao.

Ila kwa namna fulan chama kinaharibu sifa ya kujiita chama cha demokrasia.
kwani demokrasia kwa tafsiri yako ni nini? kwani hawaruhusu watu wengine kugombea? mbowe huwa anapita bila kupingwa? nisaidie mkuu maana mimi nimezaliwa 2010
 
Post ya 14 hii, hakuna aliyejibu hoja ya Kigwangala. Hivi ni kwanini huwa mtu akimuongelea Mbowe na kuachia uenyekiti huwa ni lazima aliyetoa hilo wazo ashambuliwe!?,hivi ni kweli hakuna mtu mwingine chadema anayeweza kuwa mwenyekiti wa chama zaidi ya Mbowe!?!?..., Hivi chadema wote wanaona ni sawa Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu!?,humu huwa namkubali Tindo tu kwenye suala la mwenyekiti kuongoza bila kikomo.
Hivi ni kweli kuwa Ccm hamuwezi kuendesha chama chenu wakati mbowe ni mwenyekit? Yaani uenyekiti wa Mbowe Ccm ndiyo wanaumia sana kuliko hata hao Chadema
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla

Ahsanteni [emoji23][emoji23][emoji93]

Unaelewa maana ya daktari bingwa? Kigwangala ni daktari bingwa wa magonjwa gani?

Huyo Kigwangala, uelewa ni duni kabisa. Na kama ana uelewa mzuri basi ni mahabiki mkubwa wa ujinga na unafiki. Amefanya argument yake kama mtu mjinga, sawa na wale wajinga wa kudumu.

Angekuwa ni mtu aliyekombolewa na Elimu, asingethubutu kuulinganisha uongozi wa Zito na wa Mbowe. Kwanza muundo wa ACT haupo sawa na wa CHADEMA. ACT ina kiongozi mkuu wa chama na ina mwenyekiti wa chama. CHADEMA haina kiongozi mkuu, bali ina mwenyekiti. ACT ina ukomo wa mtu kuendelea kugombea nafasi za juu za chama, wakati CHADEMA haina kipengere hicho kwenye katiba yao inayozuia kiongozi kuendelea kugombea.

Kama Kigwangala angekuwa na akili, angejua kuwa Ayatollah hapigiwi kura bali anaachiwa uongozi na aliyemtangulia wakati Mbowe mara zote amechaguliwa kwa kupigiwa kura kwa mujibu wa katiba yao. Kabaka wa Uganda, kama walivyo wafalme wote, hakuwahi kupigiwa kura.

Kama Kigwangala, hayajui haya yote, huo udokta alienda kusomea ujinga? Basi atakuwa daktari bingwa wa ujinga. Angekiwa na akili japo kidogo, angalao angeeleza namnna Mbowe alivyokiuka katiba ya CHADEMA kwa kitendo chake cha kuwa kiongozi kwa muda mrefu.

Mnafiki Hamis Bagalile aliyewahi kumtusi Lisu kuwa ni kichaa, leo kwa unafiki mkubwa anamwita eti ni ndugu yake!! Apuuzwe mnafiki mkubwa na mporaji wa haki ya Hamis Kigwangala.

USA wana ukomo wa uongozo, Ujerumani hawana, na hawajapungukiwa chochote kwani ndiyo mfumo waliouchagua.

Kama Kigwangala anautaka umwenyekiti wa CHADEMA, arudishe kadi ya CCM, akachukue ya CHADEMA. Halafu akagombee. Akina Sumaye walijiunga na CHADEMA, na wakaruhusiwa kugombea.
 
Umeandika kwa uchungu sana 😀
 
Umeandika kwa uchungu sana 😀
Wafuasi wa Mbowe, wamemwagwa JF kutetea uenyekiti wake hadi kifo kimtenganishe. Kila siku tunawaambia chadema ni kama SACCOS ina wenyewe. Kama sio wa ukoo au kabila lile utaishia kuchungulia kwa mbali. Chama Cha demokrasia kilichoondoa kipengele Cha ukomo wa mwenyekiti kwenye katiba yake. Ndo chama kinachodanganya wananchi kuwa kitaiondoa ccm madarakani. Kiukweli wananchi wameichoka ccm lakini hawaoni alternative.
 
Back
Top Bottom