Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji siyo rafiki yangu tena atabaki kuwa jamaa tu, hajasababisha nipoteze Uwaziri

Bwashee naona umeamua kumuanika 'mwenzio'...
 
Urafiki wa kikupe (parasitic friendship) huwa haudumu. Urafiki unaodumu ni ule wa manufaa kwa pande zote (mutualistic friendship).

Kigwangalla alikuwa kupe, Mo ameona isiwe taabu.
 
Kigwa ni akili ndogo,muacheni tu alivyo
 
Urafiki wa kikupe (parasitic friendship) huwa haudumu. Urafiki unaodumu ni ule wa manufaa kwa pande zote (mutualistic friendship).

Kigwangalla alikuwa kupe, Mo ameona isiwe taabu.
Aliyefuta urafiki ni Kigwa!
 
Huyu Waziri inakuwaga Kama akili yake siyo nzuri, kinachonishtuaga zaidi kwake ni yeye kushindwa kuandika hata sentence mbili za kiingereza kwa usahihi.
Mkuu Kwani Hujuhi kuwa hata Hilo is a Jina c lake?
Hana tofauti na EX Rc Dsm
 

Umenena kweli wote wana lactogen mdomoni ndio maana Kigwa kutemwa uwaziri na mwenzie waliishia kumtupa na Khanga usubuhisubuhi na sijui Dr wake alikuta afya yake ikoje!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona bwasheee!!
Fikiria kama angefanikiwa kukopeshwa zile tukutuku......malipo yangekuwa ni " full sound" baada ya kitumbua cha uwaziri kuingia mchanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…