Ingembidi Mo asubiri kipindi cha uwaziri kikome ndio aulizie 'deni' lake, tena mbaya zaidi angepewa uwaziri wa michezo ndio wangekuwa 'wamemalizana' rasmi, Mo akiulizia 'deni' anapigwa fine kwa 'Mnyama' anajilipa mwenyewe!!Fikiria kama angefanikiwa kukopeshwa zile tukutuku......malipo yangekuwa ni " full sound" baada ya kitumbua cha uwaziri kuingia mchanga!
It seems Bagalile ni mtu wa principles 'new model'.Mtu wa principles hua haongei sana..
Bagalile ndio nani?It seems Bagalile ni mtu wa principles 'new model'.
Kweli maendeleo hayana vyama.Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Dkt. Kigwangalla amesema amefuta rasmi urafiki wake na mfanyabiashara maarufu Mo Dewji kwa sababu yeye (Kigwangalla) ni mtu wa principles.
Akizungumza na Salama Jabir wa Eatv Dkt. Kigwangalla amesema baada ya mzozo wa mkopo wa pikipiki Mo Dewji alimpigia simu zaidi ya mara tatu ili wakae chini wayamalize lakini alimkatalia kwa sababu ameshafuta urafiki na sasa watabaki kama jamaa tu kila mtu kivyake.
Dr Kigwangalla amesisitiza kuwa hajafutwa uwaziri kwa sababu ya malumbano yake na Mo Dewji bali muda wake wa kuhudumu kama waziri ulikwisha.
Kuhusu pikipiki Dr Kigwangalla amesema Mo Dewji alimnyima mkopo lakini akaamua kuzinunua kwa cash pale pale hivyo mjadala wa pikipiki ulishafungwa kiuhasibu na kibiashara.
Chanzo: EATV
Pia soma
- Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji
- Uchaguzi 2020 - Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli
- Hata baada ya kupigwa ‘stop’ na boss wake Kigwangalla bado anaendeleza bifu na ‘MO’
- Namuunga mkono Kigwangalla dhidi ya MO Dewji
Maendeleo hayana vyama!
Usimkopeshe mwanasiasa, askari polisi au hawa wanaojiita usalama wa taifa. Huwa hawalipi madeni hawa watu Bwashee! Mo mtoto wa mjini analijua hili.Fikiria kama angefanikiwa kukopeshwa zile tukutuku......malipo yangekuwa ni " full sound" baada ya kitumbua cha uwaziri kuingia mchanga!
Sidhani km ana tatizo kukosa uwaziri kwa sababu alijua kabisa si ajira ya kudumu.Na sii yy wa kwanza kupita apo wizarani.Ila jua tu ndugu yey alishachuma za kumtosha .ata mkimtukana,mkimbeza haisaidii.Bado ana frustrations tumpe wakati
Hata katika mahojiano MTU huwa halazimiki kujibu kitu ambacho asingependa kukiongeleaAlikuwa akijibu maswali ya muongoza kipindi!
Huko CCM frustrations ni kawaida kuanzia kwa mwenyekiti alishasema hadharani kuwa huwa anakua na frustrations.Bado ana frustrations tumpe wakati
Kwa hiyo Kigs amemkoa mo? maana yake mo atajuta saana kukosa urafiki na Kigs?.labda kama ni urafiki wa kichawi au kinganga. otherwise Mo atakuwa amefurahi maana najua alikuwa anahitaji kupunguza marafiki wa ain ya kigsAliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Dkt. Kigwangalla amesema amefuta rasmi urafiki wake na mfanyabiashara maarufu Mo Dewji kwa sababu yeye (Kigwangalla) ni mtu wa principles.
Akizungumza na Salama Jabir wa Eatv Dkt. Kigwangalla amesema baada ya mzozo wa mkopo wa pikipiki Mo Dewji alimpigia simu zaidi ya mara tatu ili wakae chini wayamalize lakini alimkatalia kwa sababu ameshafuta urafiki na sasa watabaki kama jamaa tu kila mtu kivyake.
Dr Kigwangalla amesisitiza kuwa hajafutwa uwaziri kwa sababu ya malumbano yake na Mo Dewji bali muda wake wa kuhudumu kama waziri ulikwisha.
Kuhusu pikipiki Dr Kigwangalla amesema Mo Dewji alimnyima mkopo lakini akaamua kuzinunua kwa cash pale pale hivyo mjadala wa pikipiki ulishafungwa kiuhasibu na kibiashara.
Chanzo: EATV
Pia soma
- Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji
- Uchaguzi 2020 - Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli
- Hata baada ya kupigwa ‘stop’ na boss wake Kigwangalla bado anaendeleza bifu na ‘MO’
- Namuunga mkono Kigwangalla dhidi ya MO Dewji
Maendeleo hayana vyama!
Kigwa mwongo. Maskini hawezi kufuta urafiki na tajiri. Kigwa anajifaragua tu.Aliyefuta urafiki ni Kigwa!
Bagalile ndio nani?
Ntakusemea kwa baba🤣🤣🤣Oooh wanafuta urafiki. Mambo ya sichezi na wewe
Hii pic ni ya nani!!??Ni jambo jema.View attachment 1652852
Amemsambu.....Kigwz bado hajakua!! Unawezaje kusema umefuta urafiki na mtu?