johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Madaktari wanaandamana saana hadi raha, nyongeza za mshahara Kwa madaktar ni matunda ya mgomo maana hapo mwanzo mshahara wao ulikuwa kama wa mwalimu tuKuna utofauti mkubwa kati ya daktari na mwalimu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, KhaaahMadaktari wanaandamana saana hadi raha, nyongeza za mshahara Kwa madaktar ni matunda ya mgomo maana hapo mwanzo mshahara wao ulikuwa kama wa mwalimu tu
Njoo Kw sasa utaskia shukuru Mungu Kuna wengine wapo mitaani wanatamani hata laki Kwa mwez
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, Khaaah
Huyo mtu na walimu. Ugomvi wao utamalizwa na M/kiti wa CWT. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni kwa sababu ya wingi na Umaskini wa familia nyingi wanazotoka Walimu.Madaktari wanaandamana saana hadi raha, nyongeza za mshahara Kwa madaktar ni matunda ya mgomo maana hapo mwanzo mshahara wao ulikuwa kama wa mwalimu tu
Njoo Kwa hawa sasa utaskia shukuru Mungu Kuna wengine wapo mitaani wanatamani hata laki Kwa mwez
Umasikini usikufanye ukawa mtumwa. Niyaheri nikalala kwenye mapango ya nyoka na kula makombo ya mbwa kuliko kuwa mwalimuHii ni kwa sababu ya wingi na Umaskini wa familia nyingi wanazotoka Walimu.